Hello,natafuta kazi ya uhasibu

2009-04-04193

New Member
Nov 5, 2011
1
0
Natafuta kazi ya Uhasibu kwa mwaka ujao wa 2012 baada ya kuhitimu shahada yangu ya uhasibu katika shule biashara ya chuo kikuu cha Dar es salaam
 
Da kweli we mwehu! Yan nan akuwekee kaz mbaka umalize wakati kuna wahasibu zaid ya 4000 hawana kazi
 
hehe, this person just made my day. kwanza, im almost certain kwamba hiyo username yake ni registration number yake ya UDSM (that's how much she/he likes the school there!) and then anatafuta kazi kwa staili ya kuchota maji kwenye mabomba ya tandale, unaweka kidumu, unafanya mambo yako, zamu yako ikifika unawekewa maji.
 
Wewe uta Disco sasa kazi ya nini? Wapo Wahasibu Kibao Plus experience na hawana kazi halafu watu wakuwekee wewe kazi wakati hata ndoto yako haijatimi je ukifa kabla? Hizo ndoto endelea kuzitunza mkuu wakati ukifika utapata tu.
 
Jamani labda anaambiwa anko kuwa mwakani anamaliza!


































Mdharau mwiba..................................................................................................................!
 
kwa nini hawana wakati kila siku kazi zinatangazwa? unawajua kwa majina?
amini ucamin Ivuga wapo mtaani ,ninae ndugu yangu ana mwaka wa pili nyumbani tangu achukue degree yake ya uhasibu. Kila anapoapply hola,hadi amekata tamaa.
 
amini ucamin Ivuga wapo mtaani ,ninae ndugu yangu ana mwaka wa pili nyumbani tangu achukue degree yake ya uhasibu. Kila anapoapply hola,hadi amekata tamaa.
Kuna kitu ningependa kushauri vijana hasa wahasibu.kazi za uhasibu ni nyeti na inahusisha pesa,ukitoa serikalini, SMEs ndio wanaotegemewa kutoa ajira nyingi,lakini bness owner wengi wanapenda kuweka mtu kwenye pesa anayemfahamu(au kupitia goodwill ya mtu mwingine).kuwa na qualification na kuwa mwaminifu unapokabidhiwa mamilioni cash ni vitu 2 tofauti! Hata ingekuwa wewe huwezi kuokota mtu kisa ana qualification ukampa uhasibu na cash kibao! Nashauri unapokuwa unasoma tengeneza network ya kufahamiana na watu hasa wahasibu ili ukimaliza na pakawa na nafasi somewhere wakushtue lakini pia mjichanganye kwenye madarasa ya CPA kuna wadau wakubwa mle wanaweza kuwasaidia.kampuni ndogo ndogo ambazo ndio nyingi hawatangazi nafasi kujuana ndio unapata chance.mfano mimi niliwahi kumuhurumia kijana mmoja baada ya kupewa stori yake alivyosota mtaani nikamuunganisha kwa jamaa yangu akawe assistant accountant,mwisho wake nilijuta akala dili na watu wa benki kuibia wateja pesa ya kodi alizokuwa anakabidhiwa akawalipie!! Uhasibu ni uaminifu kwanza na mtu hawezi kukuajiri bila kuwa na uhakika wa mwenendo wako.Vijana tamaa mbaya!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom