Karibu jf kijana! Tembelea mitaa ya jukwaa la siasa, mmu na chit chat. Mitaa mingine utaijua mwenyewe! Ukifika mmu na chit chat utaonana na kongosho, huyu hajulikani kama ni she au he, coz wakati mwingine huongea kama she na wakati mwingine huongea kama he, kazi ni kwako!