Hello jf

Karibu sana Miriam jamvini, unatumia kinywaji gani?
 
Karibu sana Miriam....samahani, kabla sijaendelea, are you he/she?

Usinisahau katika siku zako hapa JF kama wewe ni she. Mimi ni babu wa wajukuu wa kike.
 
KARIBU SANA!HUKU NDO KWA WANA GREAT THINKER WELCOME:washing::washing::washing:
 
karibu sana.
watumia yai la kuku wa kisasa au wakienyeji
 
:lol:

Miriam Nashon.........wa kure kwa wamiriki wa Geshi ra Wakurya Tangu Zamani nini?

BTW karibu sana
 
Karibu sana Miriam....samahani, kabla sijaendelea, are you he/she?

Usinisahau katika siku zako hapa JF kama wewe ni she. Mimi ni babu wa wajukuu wa kike.

hahaha!odm at his best,,lolz 🙂miriam karibu sana,,habari ya ngaji?
 
karibu mwaya.........! hop hutamaliza tray zima la mayai(broiler)........!
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…