Wana JF, Aslaam aleikum/Tumsifu Yesu kristu!!
Kwa mara ya kwanza naingia humu mjengoni kwa Great Thinkers, Naombeni mnipokee tushirikiane kwa pamoja, tuelimishana, kutofautiana na kupingana bila kugombana. Hatimaye tujenge Taifa letu kwa manufaa ya sasa na vizazi vijavyo!
Nawasilisha!!!
Mpambanaji wenu!
Una undugu na Ole Sendeka??
Karibu sana...
Una undugu na Ole Sendeka??
Karibu sana...
Mimi ndie Ole Sendeka Mwenyewe!
Wewe mbona hujataja una undugu na nani? This is an anonymous discussion platform, hapendwi mtu wala jina hapa, zinapendwa hoja tu! Wewe au yeye akiharibu na ule "Sendeka" wake anachanwa vile vile!Una undugu na Ole Sendeka??...