Kuna ndugu yangu mnafanana sana....
Anyway, karibu sana hapa jamvini. Kikubwa zingatia kanuni na sheria za humu, pia waheshimu watu wote, na pia humu ni ngumu kidogo kuitambua jinsia ya member mwenzako.
Nimekupa tahadhari tu, si kwaubaya
Sent using
Jamii Forums mobile app