Mrs.Nani Member Joined Oct 27, 2011 Posts 8 Reaction score 1 Nov 17, 2011 #1 How are u Guys?? Im a new member here Just wanna Say hello.
Bukanga JF-Expert Member Joined Dec 13, 2010 Posts 2,857 Reaction score 1,937 Nov 17, 2011 #2 Howdy! Ila umeruka ukuta...........Karibu though
zumbemkuu JF-Expert Member Joined Sep 11, 2010 Posts 11,322 Reaction score 9,771 Nov 17, 2011 #3 wrong site, karibu lakini, jaribu kupitia majukwaa yote utaona jukwaa ulilopaswa kupitia.
F FredKavishe JF-Expert Member Joined Dec 4, 2010 Posts 1,090 Reaction score 322 Nov 17, 2011 #4 Nenda jukwaa husika sio kujaza upupu
Sniper JF-Expert Member Joined Mar 8, 2008 Posts 2,008 Reaction score 949 Nov 17, 2011 #5 Karibu, ila humu sio mahala pake. Humu ndi mahala pa kujadili mustakabadhi wa siasa za nchi hii, magambaz, macameruni wa siasa km kina nepi naunye, na ajenda km hizo...
Karibu, ila humu sio mahala pake. Humu ndi mahala pa kujadili mustakabadhi wa siasa za nchi hii, magambaz, macameruni wa siasa km kina nepi naunye, na ajenda km hizo...
Raia Fulani JF-Expert Member Joined Mar 12, 2009 Posts 11,866 Reaction score 4,252 Nov 17, 2011 #6 mgeni hana ham
everybody JF-Expert Member Joined Oct 30, 2010 Posts 337 Reaction score 103 Nov 17, 2011 #7 Bukanga said: Howdy! Ila umeruka ukuta...........Karibu though Click to expand... Duh kazi kweli kweli! Hivi kumbe kwenye siasa hakuna kusalimiana wala kubisha hodi! Anyway karibu mgeni Mrs...
Bukanga said: Howdy! Ila umeruka ukuta...........Karibu though Click to expand... Duh kazi kweli kweli! Hivi kumbe kwenye siasa hakuna kusalimiana wala kubisha hodi! Anyway karibu mgeni Mrs...
Rejao JF-Expert Member Joined May 4, 2010 Posts 9,219 Reaction score 4,085 Nov 17, 2011 #8 karibu...j
mkonowapaka JF-Expert Member Joined Feb 19, 2010 Posts 1,492 Reaction score 771 Nov 17, 2011 #9 karibu..mrs nani
Mrs.Nani Member Joined Oct 27, 2011 Posts 8 Reaction score 1 Nov 17, 2011 Thread starter #11 Whats wrong with u Guys?? nyie mlioniambia nimekosea kuingia humu kwani nyie peke yenu ndo mna haki ya kuingia humu??? acheni tabia mbaya kwani wakati nachagua kuingia humu sikujua?? Asanteni Mlionikaribisha Mbarikiwe
Whats wrong with u Guys?? nyie mlioniambia nimekosea kuingia humu kwani nyie peke yenu ndo mna haki ya kuingia humu??? acheni tabia mbaya kwani wakati nachagua kuingia humu sikujua?? Asanteni Mlionikaribisha Mbarikiwe
jmushi1 Platinum Member Joined Nov 2, 2007 Posts 26,375 Reaction score 25,453 Nov 17, 2011 #12 Mrs.Nani said: Whats wrong with u Guys?? nyie mlioniambia nimekosea kuingia humu kwani nyie peke yenu ndo mna haki ya kuingia humu??? acheni tabia mbaya kwani wakati nachagua kuingia humu sikujua?? Asanteni Mlionikaribisha Mbarikiwe Click to expand... We si mgeni,ila karibu tena.
Mrs.Nani said: Whats wrong with u Guys?? nyie mlioniambia nimekosea kuingia humu kwani nyie peke yenu ndo mna haki ya kuingia humu??? acheni tabia mbaya kwani wakati nachagua kuingia humu sikujua?? Asanteni Mlionikaribisha Mbarikiwe Click to expand... We si mgeni,ila karibu tena.
Washawasha JF-Expert Member Joined Aug 7, 2006 Posts 16,948 Reaction score 13,378 Nov 17, 2011 #13 hey,hau a yu? yu a welkam.Nalog off
kikahe JF-Expert Member Joined May 23, 2009 Posts 1,350 Reaction score 284 Nov 17, 2011 #14 Hello! Welcome and have a seat!
O One tsh. Member Joined Nov 3, 2011 Posts 47 Reaction score 5 Nov 17, 2011 #15 K aribu jf mrs wa mtu
Katavi Platinum Member Joined Aug 31, 2009 Posts 42,099 Reaction score 12,919 Nov 17, 2011 #16 Mrs.Nani said: Whats wrong with u Guys?? nyie mlioniambia nimekosea kuingia humu kwani nyie peke yenu ndo mna haki ya kuingia humu??? acheni tabia mbaya kwani wakati nachagua kuingia humu sikujua?? Asanteni Mlionikaribisha Mbarikiwe Click to expand... Karibu sana.
Mrs.Nani said: Whats wrong with u Guys?? nyie mlioniambia nimekosea kuingia humu kwani nyie peke yenu ndo mna haki ya kuingia humu??? acheni tabia mbaya kwani wakati nachagua kuingia humu sikujua?? Asanteni Mlionikaribisha Mbarikiwe Click to expand... Karibu sana.
Angel Nylon JF-Expert Member Joined Jul 26, 2011 Posts 10,297 Reaction score 21,699 Nov 18, 2011 #17 Karibu sn, na wala hujakosea, wamechoka hao.
Mshume Kiyate JF-Expert Member Joined Feb 27, 2011 Posts 6,764 Reaction score 903 Nov 18, 2011 #18 Karibu sana
Ulimakafu JF-Expert Member Joined Mar 18, 2011 Posts 31,701 Reaction score 13,671 Nov 18, 2011 #19 Karibu sana JF mkuu.
TUKUTUKU JF-Expert Member Joined Sep 14, 2010 Posts 11,763 Reaction score 4,046 Jan 4, 2012 #20 Karibu JF