Habari wapendwa nipo na dada yangu ni msusi mzuri tu wa nywele za aina mbali mbali pia tofauti na kipaji chake amesomea Secretary certificate only pia kutokana na ugumu wa kupata kazi anatafuta kazi yoyote yenye kumuingizia kipato kitakachokizi mahitaji ya kibinadamu.
Ajira ya aina yoyote ni mkazi wa temeke anaweza kuuza duka lolote la vipodoz au min supermarket ana uzoefu nazo hzo kazi asanteni sana