Hello ajira kwa my sister

Hello ajira kwa my sister

emmy mlyuka

Member
Joined
Oct 11, 2018
Posts
20
Reaction score
22
Habari wapendwa nipo na dada yangu ni msusi mzuri tu wa nywele za aina mbali mbali pia tofauti na kipaji chake amesomea Secretary certificate only pia kutokana na ugumu wa kupata kazi anatafuta kazi yoyote yenye kumuingizia kipato kitakachokizi mahitaji ya kibinadamu.
Ajira ya aina yoyote ni mkazi wa temeke anaweza kuuza duka lolote la vipodoz au min supermarket ana uzoefu nazo hzo kazi asanteni sana
 
Nenda Instagram kuna page inatangaza sana wanaitaji wasusi masaloon mpk Zanzibar ni wewe tu utachagua hawa hapa @ajira_mtaani_biashara

Back
Top Bottom