D Dafugwadu JF-Expert Member Joined Dec 24, 2012 Posts 4,734 Reaction score 5,247 Sep 26, 2022 #21 Vuka mpaka kihalali wewe ukija huku ukakamatwa utasema tena ni majini ndio yamesababisha udakwe, na hivi tuna msala wa panyaroad mbona utajuta.
Vuka mpaka kihalali wewe ukija huku ukakamatwa utasema tena ni majini ndio yamesababisha udakwe, na hivi tuna msala wa panyaroad mbona utajuta.
B beluwa Member Joined Jul 15, 2020 Posts 78 Reaction score 78 Sep 26, 2022 Thread starter #22 Dafugwadu said: Vuka mpaka kihalali wewe ukija huku ukakamatwa utasema tena ni majini ndio yamesababisha udakwe, na hivi tuna msala wa panyaroad mbona utajuta. Click to expand... Itakua pesa ngapi. Niko na stress banaa. Nasumbuliwa kufanya kazi, hela zaendelea kupungua ju ya mahitaji
Dafugwadu said: Vuka mpaka kihalali wewe ukija huku ukakamatwa utasema tena ni majini ndio yamesababisha udakwe, na hivi tuna msala wa panyaroad mbona utajuta. Click to expand... Itakua pesa ngapi. Niko na stress banaa. Nasumbuliwa kufanya kazi, hela zaendelea kupungua ju ya mahitaji
B beluwa Member Joined Jul 15, 2020 Posts 78 Reaction score 78 Sep 26, 2022 Thread starter #23 Nimepata nuru, its not hard or expensive to enter legally, I appreciate your comments. Ntakuja legally sasa.
Nimepata nuru, its not hard or expensive to enter legally, I appreciate your comments. Ntakuja legally sasa.
Nelson nely JF-Expert Member Joined Jan 25, 2014 Posts 4,251 Reaction score 2,870 Oct 2, 2022 #24 beluwa said: Nimepata nuru, its not hard or expensive to enter legally, I appreciate your comments. Ntakuja legally sasa. Click to expand... Majini yanabaki huko mkuu?
beluwa said: Nimepata nuru, its not hard or expensive to enter legally, I appreciate your comments. Ntakuja legally sasa. Click to expand... Majini yanabaki huko mkuu?
B beluwa Member Joined Jul 15, 2020 Posts 78 Reaction score 78 Oct 8, 2022 Thread starter #25 Nelson nely said: Majini yanabaki huko mkuu? Click to expand... Bana yamenifwata. Uko pande gani?
B beluwa Member Joined Jul 15, 2020 Posts 78 Reaction score 78 Oct 8, 2022 Thread starter #26 Dafugwadu said: Vuka mpaka kihalali wewe ukija huku ukakamatwa utasema tena ni majini ndio yamesababisha udakwe, na hivi tuna msala wa panyaroad mbona utajuta. Click to expand... Heh, nilielewa vibaya, sasa kumbe panyaroad ni vijana wahalifu
Dafugwadu said: Vuka mpaka kihalali wewe ukija huku ukakamatwa utasema tena ni majini ndio yamesababisha udakwe, na hivi tuna msala wa panyaroad mbona utajuta. Click to expand... Heh, nilielewa vibaya, sasa kumbe panyaroad ni vijana wahalifu