Hellloe JF!!!

Hellloe JF!!!

cold water

JF-Expert Member
Joined
Oct 6, 2021
Posts
323
Reaction score
1,128
Nguo za dukani VS mtumba zipi nzuri ili nipendeze jamani najiona nipo local sana !!! Muonekano wangu ni mwembamba wa wastani mrefu wa kati maji ya kunde Nina kashepu kwa mbali,napenda magauni yanayonionesha figure kwasababu kiuno kimejikata kidogo hakijaunganika na mgongo na sina kifua ,nina nyonyo ndogo tu lakini sibahatiki kupata izi nguo mtumbani zinanazovotika na kuni shape.wapii naweza pata vigauni vya mpira? Vitenge sipendi kushona sketi na shirt sipendelei sana labda ziwe muundo wa charanga au ziwe za mpira zinazovutika.
 
Muonekano wangu ni mwembamba wa wastani mrefu wa kati maji ya kunde Nina kashepu kwa mbali,napenda magauni yanayonionesha figure kwasababu kiuno kimejikata kidogo hakijaunganika na mgongo na sina kifua ,nina nyonyo ndogo

Weka picha basi kipenzi tukupe ushauri murua...
 
Tangazo limekaa kitaalamu sana hili...anyways nitumie picha pm nikudesginie mavazi yako. Nakuahidi hutojutia mpendwa🤗🤗
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom