Huyu ni Head of Legal Services wa Stanbic Bank na ndiye aliesain Statement of account ya PAP
Anawajua beneficiaries woooote wa akaunti hiyo
Hivi hawa Stanbic sakata la Mikopo kwa wafanyabiashara wa Kariakoo na staff wao liimeishia wapi?
Sakata la Bashir Awale na mkopo wa mamilioni y dola anbayo BOT hawakujua kimeishia wapi?
Mwanasheria aliyesaini hizo documents atakua shahidi muhimu
Tena ingefaa mashahidi walindwe sasa
Statement huaga anasign mtu yoyote tu ktk benki..
Nyie wagalatia mna matatizo sana, mnajifaragua kua mnajua kila kitu..Sio kweli labda itaratibu wa huko hamana
Exactly!Katika mazingira ya kawaida, statement inachukuliwa kaunta lakini kwa status ya PAP, muhusika atakuwa alichukulia statement kwa manager au mtu wa chini yake! Statement ikishatolewa, ni lazima ipigwe muhuri na kusainiwa na muhuri unakuwa available kwa staff and anyone can sign provided ni official signatory kwahiyo not necessarily kwamba anayesaini lazima awe ndio huyo Head of Legal Service. Na hata ukisoma hiki cheo (Head of Legal Service)... huyu sio banker na mara nyingi kama sio zote hawa watu wankuwa HQ.
That's one but second, kutoa na kusaini statement hakuna uhusiano wowote na kufahamu wapi transaction inaelekea... transaction inaweza kuwa imefanyika miaka kumi iliyopita na statement ikatolewa na kusainiwa leo!! Mtu pekee ambae anaweza kujibu swali la wapi pesa zimeenda ni mtu anayehusika na money transfer... huyu anaweza kuwa ofisa wa kawaida tu lakini kwa kuwa transaction zenyewe ni kubwa sana basi LAZIMA Branch Manager na/au assistance wake watakuwa wali-approve hizo transfer. Hivyo basi, mbali na Money Transfer Officer (or whatever the title they call), wengine walio kwenye nafasi ya kujibu ni meneja na assistance wake (for dual signature)
Sio kweli labda itaratibu wa huko hamana
Kwenye business as usual yeyote anaweza kusaini... na kweli wengi wanafanya hivi lakini kisheria, statement ni very sensitive document ambayo can'tbe signed by any one! Kwenye mabenki wana sample signatures... bonge la kitabu ambalo lina majina na signatures wa bank signatories mbalimbali. Hawa ndio wanaopaswa kusaini statements.Nyie wagalatia mna matatizo sana, mnajifaragua kua mnajua kila kitu..
Exactly!
Mi nimaechukua statement mara kibao..na huyo aliyesaini sikuona hata mara moja akibaki na nakala.
Katika mazingira ya kawaida, statement inachukuliwa kaunta lakini kwa status ya PAP, muhusika atakuwa alichukulia statement kwa manager au mtu wa chini yake! Statement ikishatolewa, ni lazima ipigwe muhuri na kusainiwa na muhuri unakuwa available kwa staff and anyone can sign provided ni official signatory kwahiyo not necessarily kwamba anayesaini lazima awe ndio huyo Head of Legal Service. Na hata ukisoma hiki cheo (Head of Legal Service)... huyu sio banker na mara nyingi kama sio zote hawa watu wankuwa HQ.