Kuna mdogo wangu alienda J3 kweny inteviewMambo vipi wadau.
Napenda kufahamu kama kuna mdau yoyote aliyeitwa kufanya interview na Helen Keller international katika position yoyote.Njoo tupeane ABC hapa.
Ahsante
mimi hapa nipo vip position ya dereva hipoMambo vipi wadau.