Jembe Ulaya
JF-Expert Member
- Oct 27, 2008
- 456
- 104
Kuna watu kama Lusinde wamepelekwa huko kwa kazi hiyo ya matusi.Mkutano wa kampeni wa ccm jana katika kitongoji cha ngaresero ambako kulikuwa na mkutano wa kumnadi Sio Sumari ambaye ndio mgombea wa ccm kulitokea tafrani kubwa hakuna mtu aliye jua kuwa Helikopta ya chadema kama itapita karibu ya mkutano huo chakusangaza wakati TOT plus wakitoa burudani Helikopta ilipita karibu na mkutano na watu karibuni robo tatu wakanyanyua vidole viwili juu wakisema pipooo powa na polisi wakanza kuwakama vijana na kuwapeleka sero.Na inasemekana wengi kwenye mkutano huo walikuwa wanachadema na watoto.Pia kituko kingine kilichoshangaza watuwengi viongozi wa ccm walitoa matusi mengi mpaka watoto wakiwasimulia wazazi wao majumbani hiyo inafundishi jamii tabia mbaya.
Mkutano wa kampeni wa ccm jana katika kitongoji cha ngaresero ambako kulikuwa na mkutano wa kumnadi Sio Sumari ambaye ndio mgombea wa ccm kulitokea tafrani kubwa hakuna mtu aliye jua kuwa Helikopta ya chadema kama itapita karibu ya mkutano huo chakusangaza wakati TOT plus wakitoa burudani Helikopta ilipita karibu na mkutano na watu karibuni robo tatu wakanyanyua vidole viwili juu wakisema pipooo powa na polisi wakanza kuwakama vijana na kuwapeleka sero.Na inasemekana wengi kwenye mkutano huo walikuwa wanachadema na watoto.Pia kituko kingine kilichoshangaza watuwengi viongozi wa ccm walitoa matusi mengi mpaka watoto wakiwasimulia wazazi wao majumbani hiyo inafundishi jamii tabia mbaya.
Thawa Mdhee!!!! Mmethajua mtaiba kwa hiyo mmeandha kutoa taarifa thio??Hizi mbwembe mwisho wake tarehe 1 april.
Mtaanza kulalamika mmeibiwa kura
Mkuu, CCM ni mafia,CDM mna bahati CCM wamechacha zingekuja helcopter 2 apo
sa hv atakuwa anaimba huku analia akikumbukia alivyokuwa anafanya mazoezi ya kumwimbia mwl. nyerere mwezi mzima kabla ya kifo chake.Kwani naye Komba yuko huko sasa atakuwa anaimba huku kasinzia au mbele yake wanawekwa warembo ili angalau aweze kupepesa macho
Tunakula ccm tunalala Chadema hiyo ndo fomula ya arumeru east kama ulikuwa haujui.
Pia chakushangaza mchungaji aliyeomba katika mkutano huo alianza kwa kusema na muombea Joshua nassari alafu akasita ohooo Sioi watu walicheka sanaaaaaaaaaaaaaaaa tu