Samahani wandugu hvi kuna yyote mwenye update juu ya hzi pesa za pt a.k.a practcal trainings coz cielew hii serikali inampngo gani mwezi sasa wapita twaganga njaa tu maofcn mwa watu..hvi kweli unaeza jfunza vyema kweli kwa style hii[/QUOTE
izo hela ARDHI UNIVERSITY 2lipewa since week ya u.e na zimeshaisha kitambo..kama hujazipata hadi leo jiulize icho unachosoma ni chuo kikuu au ""chuo kikubwa"(najua ur from udsm wewe...teh teh teh!!!)
""if your in relationship and all u do is crying everyday.,u better ask your self whether ur dating a lover or an onion.....""