Hela ya riba. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hela ya riba.

Discussion in 'Matangazo madogo' started by bucho, Mar 6, 2012.

 1. bucho

  bucho JF-Expert Member

  #1
  Mar 6, 2012
  Joined: Jul 13, 2010
  Messages: 4,542
  Likes Received: 425
  Trophy Points: 180
  Kwa mtu yoyote anayehusika kutoa hela ya riba naomba ani pm nimpe vichwa . Ila kuanzia 10m kwenda juu . Wateja wapo arusha .
   
 2. bucho

  bucho JF-Expert Member

  #2
  Mar 6, 2012
  Joined: Jul 13, 2010
  Messages: 4,542
  Likes Received: 425
  Trophy Points: 180
  Hamna wafanyabiasha humu ndani ?
   
 3. Ambassador

  Ambassador JF-Expert Member

  #3
  Mar 6, 2012
  Joined: Jun 2, 2008
  Messages: 932
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 35
  Mh! Ukiona hivyo ujue washikaji wameshtuka! Vichwa viko Arusha, wakikutia ndani inakuwaje?
   
 4. bucho

  bucho JF-Expert Member

  #4
  Mar 6, 2012
  Joined: Jul 13, 2010
  Messages: 4,542
  Likes Received: 425
  Trophy Points: 180
  hamna bwana , wateja wapo Arusha kweli , na pesa si unatoa paka ujiridhishe na dhamana zinazowekwa ?
   
 5. jino kwa jino

  jino kwa jino JF-Expert Member

  #5
  Mar 6, 2012
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 769
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  machali wa arusha hawaaminiki, waambie waende bank na microfinance mbona wanapata tu kama wanasifa. kwa nini uhangaike kuomba kwa watu binafsi na viriba vya ajabu ajabu.
   
 6. bucho

  bucho JF-Expert Member

  #6
  Mar 6, 2012
  Joined: Jul 13, 2010
  Messages: 4,542
  Likes Received: 425
  Trophy Points: 180
  watu wanataka hela za fasta mkuu
   
 7. mfianchi

  mfianchi JF-Expert Member

  #7
  Mar 6, 2012
  Joined: Jul 1, 2009
  Messages: 7,940
  Likes Received: 1,498
  Trophy Points: 280
  Waende pale njia ya kuelekea Shoprite kuna jengo kubwa kuna maofisi kibao nimesahau jina upande wa kushoto kabla hujafika shoprite,kuna mjasiria mali pale ana ofisi anakopesha fedha ni kama microfinance fulani hivi
   
 8. bucho

  bucho JF-Expert Member

  #8
  Mar 6, 2012
  Joined: Jul 13, 2010
  Messages: 4,542
  Likes Received: 425
  Trophy Points: 180
  Mkuu hii ni kwa Arusha au Dar ?
   
 9. bucho

  bucho JF-Expert Member

  #9
  Mar 7, 2012
  Joined: Jul 13, 2010
  Messages: 4,542
  Likes Received: 425
  Trophy Points: 180
  Hakuna mfanyabiasha humu ndani ?
   
 10. mfianchi

  mfianchi JF-Expert Member

  #10
  Mar 7, 2012
  Joined: Jul 1, 2009
  Messages: 7,940
  Likes Received: 1,498
  Trophy Points: 280
  Ni A town( Arusha )
   
Loading...