Hela ya kujikimu ajira mpya ya walimu 2016/2017

Hela ya kujikimu ajira mpya ya walimu 2016/2017

Nyamboboy

JF-Expert Member
Joined
Jun 22, 2017
Posts
362
Reaction score
456
Habari ya muda huu ndugu zangu

Kama mada hapo juu inavyoeleza,Kwa wale tuliojaliwa mwaka huu mwezi wa nne kwenye halmshauri mbalimbali hapa nchini limekuwepo tatizo kwenye halmshauri nyingi hatujapewa hela yetu ya kujikimu.

Pamoja na Mh.waziri kulisemea bungeni na halmshauri kupewa siku saba lakini bado hatujapewa,

Sijajua kama ndo kudharau mamlaka ya waziri ama lah,Kitu kingine walimu wa sayansi tumekuwa wapole mno kipindi hiki sijaona hamsha hamsha zozote kwenye halmshauri tukidai hela yetu hii ambayo ipo kwa mujibu wa kanuni,

Tulifanyie kazi ndugu walimu.Asanteni

Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
 
Mkuu unaenda kufundisha nini? maana nimeona uandishi wako unatia mashaka. Mfano(tulioajiliwa=tulioajiriwa, waziri = Waziri)
 
Mkuu unaenda kufundisha nini? maana nimeona uandishi wako unatia mashaka. Mfano(tulioajiliwa=tulioajiriwa, waziri = Waziri)
Mwl wa sayansi huyo ww

Sent from my TECNO H6 using JamiiForums mobile app
 
aebab1c21063d660e45d55abbc3a5423.jpg

Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
 
Mkuu unaenda kufundisha nini? maana nimeona uandishi wako unatia mashaka. Mfano(tulioajiliwa=tulioajiriwa, waziri = Waziri)
Mimi na lugha wap na wap,napiga zangu physics sina habari kabisa...mambo yenu ya lugha mnajua nyie

Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
 
Mkuu unaenda kufundisha nini? maana nimeona uandishi wako unatia mashaka. Mfano(tulioajiliwa=tulioajiriwa, waziri = Waziri)
Tulia ww maisha magumu

Sent from my TECNO Camon CX using JamiiForums mobile app
 
Mimi na lugha wap na wap,napiga zangu physics sina habari kabisa...mambo yenu ya lugha mnajua nyie

Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
Acha mbwembwe kijana lugha muhimu hata kama unafundisha nini.......Kumbe ndo maana mnafundisha lakini bado watoto wanafeli kwa upuuzi wenu huu.

Senti furomu mai tekino wereva yuzingi jamii foramu mobaili apu
 
Back
Top Bottom