Aweke kwenye zakariKuna jamaa angu yupo nchi flan hv nilikua napiga nae story kwenye mtandao..
"Najua labda anaweza akawa humu jukwaani" Jamaa ni msomi msomi sasa amepata Issue kwa upande wake anasema ni 'Dili'.. Dili lenyewe lipo hivi..
Jamaa amekutana na watu huko nchi zenye baridi kali mpaka barafu inaanguka kama upo kwenye Freezer.
Sasa dili lenyewe ni kwamba achague part ya nje Kiungo chake cha mwili jamaa waifanyie utafiti wa kisayansi wa magonjwa na wamehaidi wanampa hela ndefuuuuuu
Ile akubali dili wazungu huwa hawafichi kitu.. Wamempa makaratasi ya kusoma ili awe aware na issue ilivyo yani Mwanzo mwisho.. Ila in short ni kwamba atapandikiziwa kitu kwenye ngozi hicho kitu kita vimba kama "JIPU" dogo tu kama Inch 1 au CM 2 hivi then watalitibu kwa kuiweka hyo dawa ambayo itakua tested sasa kwenye hilo dude mfano wa "JIPU" then wataona reactions both positive and Negative.. Lastly watalitumbua[emoji1][emoji23] in Magufuri's voice[emoji35] [emoji35]
SWALI SASA
ANAULIZA NI SEHEMU GANI YA MWILI ANAWEZA KUFANYA HUO UPUUZI ILI APATE HELA YA KUJA KUENDELEZA NCHI YA VIWANDA KWA PESA NA JIPU.. SWALI HILO WAKUU
Procedures zote zimefuatwa kwaiyo msilete mambo yenu ya kisheria humu.. Hapo ni Jibu Tu.
Kwa wanyama iliprove ++ sasa kwa binadamu ndo yeye wa kwanzaKumbe ameshafanya maamuzi, ila anataka ushauri wa sehemu gani ya mwili issue ifanyike! Tumekupata.
Ili tukushauri vizuri, tunaomba utujuze wamemweleza kitu gani kitatokea in worst case scenario kama mambo yakienda mrama. Hili ni lazima watakuwa wameliainisha kwenye draft paper zao. Na mara nyingi lazima watakuwa wameanzia hiyo test kwa wanyama ndiyo binadamu afanyiwe.
Lakini pia apime risks versus benefits japo ameshaamua.
++ ina risks na benefits.Kwa wanyama iliprove ++ sasa kwa binadamu ndo yeye wa kwanza
ππππMwambie awekwe kwenye M.b.o.o ili ikizingua awe shoga watu tumle tu si ana tamaa za kisenge