Hahaaaa.....Mimi Kila mwenzi Nina utaratibu wa kujizawadia kwenye mapato yangu pesa hiyo ipo....nijibane nisile kuku wa kujipongeza Ati nasubiri uzeeni vp dhahma za uzee usile hichi usile kile hahaàaaa kuku ninakula angali ni kijana.....sinywi pombe Wala kilevi chochote....