Bwana Bongo
Senior Member
- Dec 12, 2021
- 167
- 239
Kama unapenda kupelekwa bila kuhoji ni kweli hazichunguziki.Mungu akili zake azichunguziki...
Sina muda wa kumhoji aliyenipa pumzi na ambaye akinitaka huitoa pumzi...Kama unapenda kupelekwa bila kuhoji ni kweli hazichunguziki.View attachment 2749191
Hautaweza kuhoji kwa sababu saikolojia ya dini imejengwa kwenywe misingi mitatu , VITISHO , KUTII NA AHADI.Sina muda wa kumhoji aliyenipa pumzi na ambaye akinitaka huitoa pumzi...
Sina kiburi cha kumhoji Mungu mkuu...
Dini ilikuwa njia tu kwangu...Hautaweza kuhoji kwa sababu saikolojia ya dini imejengwa kwenywe misingi mitatu , VITISHO , KUTII NA AHADI.
Utamhoji vipi wakati hayupo?Sina muda wa kumhoji aliyenipa pumzi na ambaye akinitaka huitoa pumzi...
Sina kiburi cha kumhoji Mungu mkuu...
God is an illusion.Ngoja tupeane elimu kidogo juu ya mungu na namna alivyo jificha bila kujiweka wazi
Mungu kutokujiweka wazi kwanza tukubali hii ni hekma kubwa sana imetumika maybe pengine hali ingekuwa mbaya sana katika dunia mashaka yangekuwa mengi
ukija kiuhalisia ukiwa mtu wa mambo yako kutoyaweka wazi kwanza utaepuka changamoto nyingi zisizo lazima na mara zote watu ambao mambo yao awayaweki wazi wanaongoza kwa kupiga hatua
acha tu na kiongozi wa dunia kujiweka sehemu ambapo hautaweza kujua anafanana vipi, njoo kwa hawa viongozi wanao ongoza nchi n.k angalia doubt juu yao angalia kosoa angalia chuki, iko hivyo sababu binadamu tunapenda kuangalia makosa tu asilimia kubwa na hilo mungu anajua
kitu kikishakuwa public kwanza kinapoteza mvuto wa utukufu wake, kungekuwa na uwezekano wa kumuona mungu hali ingekuwa mbaya sana, pengine angepoteza watu wengi ambao wasingeweza kuwa na imani nae hata chembe, haimanishi kwamba yeye anahofu kuwapoteza
lakini yeye kutoweka kila kitu chake hadharani iyo ni hekma kubwa na still dunia inakwenda sawa kabisa kwa kuwa yeye ni mwingi wa hekma
mfano mdogo tu mungu atoke wazi wazi aseme mimi ndiye mungu wewe unaedoubt kwanini asijioneshe utamuamini?
hivi vitu hata aviumizi kichwa ni uhalisia tu.
#wamakamo
mkuu inamaana yule jamaa wa kizungu anaebandikwa majumban kwenye picha mwenye nywele ndefu kumbe sio mung??Ngoja tupeane elimu kidogo juu ya mungu na namna alivyo jificha bila kujiweka wazi
Mungu kutokujiweka wazi kwanza tukubali hii ni hekma kubwa sana imetumika maybe pengine hali ingekuwa mbaya sana katika dunia mashaka yangekuwa mengi
ukija kiuhalisia ukiwa mtu wa mambo yako kutoyaweka wazi kwanza utaepuka changamoto nyingi zisizo lazima na mara zote watu ambao mambo yao awayaweki wazi wanaongoza kwa kupiga hatua
acha tu na kiongozi wa dunia kujiweka sehemu ambapo hautaweza kujua anafanana vipi, njoo kwa hawa viongozi wanao ongoza nchi n.k angalia doubt juu yao angalia kosoa angalia chuki, iko hivyo sababu binadamu tunapenda kuangalia makosa tu asilimia kubwa na hilo mungu anajua
kitu kikishakuwa public kwanza kinapoteza mvuto wa utukufu wake, kungekuwa na uwezekano wa kumuona mungu hali ingekuwa mbaya sana, pengine angepoteza watu wengi ambao wasingeweza kuwa na imani nae hata chembe, haimanishi kwamba yeye anahofu kuwapoteza
lakini yeye kutoweka kila kitu chake hadharani iyo ni hekma kubwa na still dunia inakwenda sawa kabisa kwa kuwa yeye ni mwingi wa hekma
mfano mdogo tu mungu atoke wazi wazi aseme mimi ndiye mungu wewe unaedoubt kwanini asijioneshe utamuamini?
hivi vitu hata aviumizi kichwa ni uhalisia tu.
#wamakamo
Ngoja tupeane elimu kidogo juu ya mungu na namna alivyo jificha bila kujiweka wazi

Kwanini una kunusha na una hukumu uwepo wa MUNGU na utukufu wake, kwa kupitia kitabu kimoja ambacho ni Bibble ??Hii nadharaia ya Mungu wa kwenye dini inamashaka sana .
Adamu akala lile tunda , kwanini Mungu aliweka hilo tunda wakati anajua kabsa watalila?
Kwa nini awalaani wakati aliweka tunda yeye na alijua watalila? ata baba mpumbavu awezi fanya hivyo kwa watoto wake.
Adamu akajificha baada ya kula tunda , Mungu akauliza adamu upo wapi ? Ina maana hakujua yupo wap ?
Mungu anakuja mwishoni baada ya adamu kula tunda ana tofauti gani na police wa tanzania wanakuja baaada ya tukio kufanyika wakati taarifa ya dalili ya kutukio kufanyika alikua nayo?
Kwa hiyo Mungu kajificha kwa kuogopa changamoto na kupoteza mvuto? How mediocre is that? Halafu kwa nini binadamu huwa mnapenda sana kumsemea Mungu wakati hata hamjawahi kumuona au kumsikia?Ngoja tupeane elimu kidogo juu ya mungu na namna alivyo jificha bila kujiweka wazi
Mungu kutokujiweka wazi kwanza tukubali hii ni hekma kubwa sana imetumika maybe pengine hali ingekuwa mbaya sana katika dunia mashaka yangekuwa mengi
ukija kiuhalisia ukiwa mtu wa mambo yako kutoyaweka wazi kwanza utaepuka changamoto nyingi zisizo lazima na mara zote watu ambao mambo yao awayaweki wazi wanaongoza kwa kupiga hatua
acha tu na kiongozi wa dunia kujiweka sehemu ambapo hautaweza kujua anafanana vipi, njoo kwa hawa viongozi wanao ongoza nchi n.k angalia doubt juu yao angalia kosoa angalia chuki, iko hivyo sababu binadamu tunapenda kuangalia makosa tu asilimia kubwa na hilo mungu anajua
kitu kikishakuwa public kwanza kinapoteza mvuto wa utukufu wake, kungekuwa na uwezekano wa kumuona mungu hali ingekuwa mbaya sana, pengine angepoteza watu wengi ambao wasingeweza kuwa na imani nae hata chembe, haimanishi kwamba yeye anahofu kuwapoteza
lakini yeye kutoweka kila kitu chake hadharani iyo ni hekma kubwa na still dunia inakwenda sawa kabisa kwa kuwa yeye ni mwingi wa hekma
mfano mdogo tu mungu atoke wazi wazi aseme mimi ndiye mungu wewe unaedoubt kwanini asijioneshe utamuamini?
hivi vitu hata aviumizi kichwa ni uhalisia tu.
#wamakamo
Kwanini una kunusha na una hukumu uwepo wa MUNGU na utukufu wake, kwa kupitia kitabu kimoja ambacho ni Bibble ??
Je, uliwahi kusoma vitabu vingine na ukajua ukweli upo vipi ??
Uwepo wa Mungu hawaudis kilocal local kama ufanyavyo mkuu, Kasome vitabu vyote vitano ndipo uje na hoja za msingi.
Kitabu ulichosoma (chapter ya Genesis) kina walakini mkubwa coz maneno ya MUNGU haya ongezwi wala kupunguzwa ila kwenye hicho kitabu ulichosomwa kila mwaka kinaboreshwa Yan kama katiba tu.
Mungu na uwezo wake wote huo hahitaji kitabu kujieleza.Kwanini una kunusha na una hukumu uwepo wa MUNGU na utukufu wake, kwa kupitia kitabu kimoja ambacho ni Bibble ??