Hekima ya matumizi ya simu (mawasiliano)

Anakupigia simu kwa namba ngeni
Unapokea
hallo...anakuambia Hallo mambo
Natulia namsikilizia anasema
Unanikumbuka......Mimi kutokana na kazi yangu nakuwa mpole na mwambia ningekuona kwa macho ningekukumbuka
Utasikia mimi Hadija wa sehemu Fulani tulikutana
Sawa ....namsikilizia aseme chochote.... Anajixhekesha na Utasikia naomba elfu hamsini ninashida
Hapo nakata simu naendelea na mambo yangu
 
Kwa usawa huu...hakuna kutoa hela kizembe
 
Wanatia stress kabisa watu wazima teni graduates unakuta mtu anakuandikia ujumbe.

"Mamb vp, mm xjamb cjuw ww, xaxa ile ixu vp"

Huwa natamani mtu kama huyo awepo karibu nimnase hata kofi akili ikae sawa.
Dawa yao walambe bloku tu
 
Wanatia stress kabisa watu wazima teni graduates unakuta mtu anakuandikia ujumbe.

"Mamb vp, mm xjamb cjuw ww, xaxa ile ixu vp"

Huwa natamani mtu kama huyo awepo karibu nimnase hata kofi akili ikae sawa.
Hujakutana na hii 208 tafadhali!
Yaani TUONANE tafadhali
 
Back
Top Bottom