Hekima ni kila kitu

Hekima ni kila kitu

My Son drink water

JF-Expert Member
Joined
Nov 30, 2016
Posts
4,930
Reaction score
13,335
Mungu alimuuliza mfalme Suleiman ya kwamba ni kitu gani angependa Mungu ampatie
Mfalme Suleiman aliomba hekima,kisha Mungu akampa vyote,yaani hekima na mali.
Wewe una watoto nyumbani kwako,ila makazi yako ni tofauti na wao.
Wanalia na kusema "Baba tunashinda njaa na hata shule hatuendi,kesho tunakuja kukuletea matatizo yetu.
Wewe unasema ,"Jaribuni kuja mkione cha moto,mtaenda kuwasimulia rafiki zenu".
Is that a really father or just a thug? a man without wisdom is like a car without fuel.
How can you be armed against unarmed?
How can you deploy forces in the streets against your own people who are not armed?
Huyu naye anataka aitwe eti ana hekima,ridiculous!
 
Raisi uyu wa ajabu aijawai kutokea yaani ni muoga wa maandamano
 
Aisee!!? ngoja ninywe Maji kwanza, yaani kilichofanyika Mkuu wanaita Ujinga, yaani MTU kaacha kutumia Elimu kajaribu Ujinga, PHD sijui zina matatizo gani? au sijui ni Fekiii???
 
Back
Top Bottom