Hekima kutoka kwa mzee

Equation x

JF-Expert Member
Joined
Sep 3, 2017
Posts
39,939
Reaction score
61,733
Hekima kutoka kwa mzee:
  • Vijana oaneni mapema
  • Ikiwezekana mzae mapema,kama huna athari za kiafya zaeni kuanzia 5 na kuendelea
  • Watoto wapewe misingi ya umoja na wasibaguane
  • Na ikiwezekana washirikishe katika shughuli zako za kibiashara,kikazi n.k
  • Watoto wako ndio marafiki zako,sisi wengine ni wapambe tu tunaweza kukugeuka muda wowote ule kama hutokuwa na manufaa na sisi.
  • Ukiwa mzee au mgonjwa hapo ndipo utaona umuhimu au fadhila za uzao wako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…