barafuyamoto JF-Expert Member Joined Jul 26, 2014 Posts 32,405 Reaction score 29,811 Mar 7, 2016 #41 Emilia said: Nyumba nzuri sana. Click to expand... Nzuri sana ila eneo wamebugi. Eneo lake dogo sana maana hapo ni mbele hivyo tulitegemea open space ya kutosha!
Emilia said: Nyumba nzuri sana. Click to expand... Nzuri sana ila eneo wamebugi. Eneo lake dogo sana maana hapo ni mbele hivyo tulitegemea open space ya kutosha!
mtwa mkulu JF-Expert Member Joined Sep 11, 2013 Posts 8,585 Reaction score 11,268 Mar 7, 2016 #42 Tibaijuka anaitaga kabanda kangu.....
B bantu.garage JF-Expert Member Joined Oct 13, 2015 Posts 1,436 Reaction score 503 Mar 7, 2016 #43 Ya ngoso muachie ngoso.Mutasugua gamba mpaka mwisho wa dunia.Mumeanza vibaya na mutamaliza vibaya.
nchwebe milinga JF-Expert Member Joined Feb 10, 2016 Posts 255 Reaction score 87 Mar 7, 2016 #44 Money Stunna said: update: boyfriend wake alimtimua kwenye hiyo nyumba ikabidi amuombe rostam apate uhamisho wa south africa Click to expand... ........kumbe kuna vitu vingi sana......
Money Stunna said: update: boyfriend wake alimtimua kwenye hiyo nyumba ikabidi amuombe rostam apate uhamisho wa south africa Click to expand... ........kumbe kuna vitu vingi sana......
Nazjaz JF-Expert Member Joined Jan 20, 2011 Posts 7,802 Reaction score 9,281 Mar 15, 2016 #45 Hela ya muitaliano hiyo
nchwebe milinga JF-Expert Member Joined Feb 10, 2016 Posts 255 Reaction score 87 Mar 16, 2016 #46 wajinga ndyo waliwao......
Masanja JF-Expert Member Joined Aug 1, 2007 Posts 5,510 Reaction score 11,011 Aug 19, 2018 #47 Mjini kuna mambo jamani...Khaaa! What happened to this famous house?