Mtoa mada anapaswa kuwa mkweli,nina rafiki zangu wawili walinunua maeneo huko,walipotaka kuyaendeleza wakakuta yana umiliki toka miaka ya 1980 na wenye hati wanayalipia...kijiji chenyewe uhalali wake ni wa kutia shaka,kimekaa juu ya maeneo ya watu,ni wananchi walijikusanya eneo hilo miaka ya 90 bila kujua most of the area iko surveyed na inamilikiwa na watu,labda awamu hii iwape favor wanakijiji.