HEKA HEKA

holy holm

JF-Expert Member
May 6, 2017
4,792
9,080
Heshima kwenu wakuu
nimeona nianzishe huu uzi wa Heka heka uwe special kwetu wana jf wote ili kupeana taarifa na matukio yanayo tukuta katika familia zetu na jamii kwa ujumla

kama una heka heka yako na una penda ku-share na sisi ruksa kuweka hapa

Mimi ntaanza na yangu kama ifuatavyo.

Tukio limenitokea siku tatu zilizopita. Ambapo kuna binti mmoja hivi nilimtongoza bana na akatiki vizur tu. Nikamuomba papuchi akaniahidi kunipa cku ya ijumaa (juzi) na kweli ijumaa ikafka binti kaja geto. Tukiwa katika mchezo wetu pendwa nilimnyonya matiti yake yakawa yanatoa maji hivi ambayo niliyameza. After kumaliza game
heka heka ilikua ni usiku yani sikupata usingzi kwa sababu ya tumbo la kuhara
niliendesha sana usiku hadi nikahisi kufa.
Kesho yake nilivyoenda hosptali dokta alinambia kua nimekunywa maji machafu ndo nika kumbuka ile show na yle binti
nilivyo mtafuta huyo binti kumuulza akanambia kua ananyonyesha mtoto wa miezi 2
yani niliishiwa pozi tokea cku hyo cjamtafuta tena.
Yaan nikikumbka hiyo heka heka hua nacheka sana
wewe pia waweza kueka yako hapa.
Nawasilisha
 
Hebu tuwe wakweli binti mwenye mtoto wa miezi miwili akubali kufanya ngono kweli? Na matiti yasitoe maziwa yatoe majimaji tuu?
 
very true mbaba dunia ina mengi
nimetumia tu lugha ya pic nilkua na maanisha maziwa
 
Hahaaa yekeleuwii sasa binti ananylnyesha mtt wa miezi miwili alafu anagegedana si anambemenda mtoto
 
Kama ulikuwa na akili za DonNyati utakuta ulinyonya kitu kingine... Ukajua maziwa!

Mtu mzima uhare, na mtoto wa miezi 2 inakuwaje. Ulinyonya kitu kingine sio maziwa
 
wewe jaribu kunyonya maziwa ya mama anae nyonyesha alafu ulete mrejesho hapa Mkuu
 
Mimi apa mbegu zinanitoka mara kwa Mara toka nlivyomgonga bahamedi hivi hapa Nina wiki 2 sitoki nje kutembea na kuonana na washkaji..hiyo ndiyo heka heka yangu.
 
Back
Top Bottom