Heka heka za usafi kuelekea sikukuu 09 Disemba

Dan84

Member
Joined
Apr 3, 2012
Posts
49
Reaction score
24
Ama kwa hakika, ni hali ya kutia moyo na hali ya kizalendo inaonekana katika maeneo ya Kigamboni DSM kuhusiana na suala zima la usafi.

Hapa maeneo yetu, toka jana ni ni mshike mshike, viongozi wa mitaa wanaishambulia mitaa kwa hamasa na kuhimiza usafi, hali ya moshi moshi utokanao na kuchoma taka imetawala maeneo tofauti, yale madampo yasiyo rasmi na mashimo ya taka kwa kiasi kikubwa yamesafishwa.

Ama kwa hakika Tz bila kipindu pindu inawezekana.

Hali ikoje maeneo ulipo, karibu ukumbini!
 
ni kila eneo linatekeleza kauli ya Raisi kwa ari na moyo mweupe
 
Back
Top Bottom