SUZAN NYATI
Member
- Jun 10, 2016
- 35
- 12
Shamba lipo kilosa, Morogoro eka 100 bei shilling million 80 mpaka 75 mwisho
we nitajie tu bei yako then na mimi ntakutajia bei yangu ili tuelewaneBudget yako ni how much
Kwa hiyo ni ardhi tupu au pori au vipi?Ni eneo lenye rutuba nzuri sana, mazao ni mahindi, mpunga, ifuta, matikiti nk