Kuna mwanamke au mwanaume mfupi aliyekosa mwenza tangu dunia imeumbwa?
Hongera sana
Utapata mafanikio yote ila ufupi kwenye maisha ni bonge la minus.
Naomba tutaje faida za vijemba tafadhali.
Nina amini zipo kadhaa.
Hawawezi kuwa reject product kwa asilimia mia
kweli kabisa, ninachojitahidi ni kuweka positives nyingine ili nisiwe kwenye negative
ukiwa mfupi, ugly, hujasoma, huna pesa, huna familia, huna imani na huna mwelekeo ni as good as nothing
kwenye checklist ya maisha, kimo hakibebi future yako... kinabeba muonekano na hisia za mvuto wa kingono zaidi ya mapenzi, heshima, intelligence nk
Vipanga,sijawahi ona walakusikia mtu mrefu ni kipanga kuanzia shuleni hata kazini,wengi watu wafupi wanaakili sana.
Wakati sisi tunajadili haya ukifungua forum za wachina na wajapan wanajadili technologia yaan zama hizi za sayans na technologia mtu anaongea urefu jeshin hv hata tanzania tukawa na jeshi la warefu wote tutawapiga wachina au wajapan hata wakiwa na jeshi la wafupi wote? Wakati wazungu wanatupotosha sis kwenye mambo yasiyo ya maana wao wanafanya ya maana. Inanifanya niamini mtu mweusi aliumbwa ili aje kuwa mtumwa kwani hata akiwa huru bado mawazo yake ya kitumwa tu
tujadili technology, kwani hujui tuko jukwaa gani?[/QU sasa mbona mapenzi na urefu na ufupi ni vitu tofauti? FAKE LOVE NDIO HUWA NA MBWEMBWE HIZi
asante baba na mama kwa kunizaa mrefu kama hasheem thabeet!
msilie sana jamani, haya mambo yapo automatikale, genetics zinasema!
kwanza ukiwa mrefu afu huna hela ni shida tupu..!
ukiwa mrefu halafu ukawa afya mgogoro, ni shida tupu!
ukiwa mrefu halafu ukawa mlevi tena na afya mgogoro juu, ni shida!
Mkuu,hela ni kitu kinapatikana kwa jitihada,unaweza kupata au kukosa ni jitihada zako tu ila huwezi kufanya jitihada uwe mrefu au mfupi,hyo ni mibaraka nacholale,urefu is nacholo adivanteji and superiority,ufupi ni natural disadvantage and inferiority.,kama nilivyosema awali mke wangu akitembea na dwafu namtimua mchana kweupe hata ushauri sitataka.
hahahaaaa!! mkuu nahisi mi nimepitiliza! duh...!
ila urefu nao una raha na karaha ujue! usipojipanga unaweza zeeka vibaya kulaleki!
incase imagine mkeo kakuletea mbegu ya futi moja wakati wewe futi tano, utamfanya nini?
Urefu ni pesa yako tuu
mi mfupi lakinii, aaaah... namshukuru Mungu..
ehhh fafanua zaidi shukrani yako tafadhali...
Kwani urefu unaanzia kima gani, maana mimi nina 5.10' (feet) naona sijawa na urefu wa kuitwa mrefu japo watu wananiita tall.
wanawake warefu wananipenda mbayaaa