Heh! Kumbe Berkane walishafanya booking ya hoteli Zanzibar mapemaa

Kichuchunge

JF-Expert Member
Joined
Dec 2, 2020
Posts
425
Reaction score
1,027
Klabu ya Rs Berkane tayari imeshafanya maandalizi ya sehemu ya kufikia ( Hotel ) huko Zanzibar mapema tu siku chache nyuma ikiwa ni sehemu ya maandalizi kuelekea mchezo wa marudiano fainali kombe la shirikisho dhidi ya Simba, jambo la kushangaza ni kwamba Berkane walishajua ni wapi fainali ya mkondo wa pili itafanyika wakati Simba wao waliamini Benjamin Mkapa Stadium ndipo utakapochezeka mchezo huo.
✍️

Madai ya CAF ni kuwa uwanja bado haujakidhi vigezo kutokana na ukaguzi uliofanywa na CAF mara kwa mara hivyo fainali itachezwa visiwani Zanzibar may 27 licha ya wasimamizi wa uwanja wa Benjamini Mkapa kutoa ripoti kuwa uwanja umeshafanyiwa marekebisho na unafaa kwa matumizi ya mchezo wa fainali Simba atakapokuwa nyumbani Tanzania.
✍️

Nani alaumiwe? CAF au wasimamizi wa uwanja wa Benjamini Mkapa? Ikumbukwe Simba sehemu pekee anayopata matokeo mazuri zaidi ni Benjamin Mkapa saa itakuwaje???
 
Usikute hata Simba walishajua hili ila walitaka kupiga hela mapema ili mambo yasiwe mengi
Hii ruling ilifanyika mapema Simba wakaendelea kukatisha tiketi ili wazitumie kuwa pressure caf game ichezwe juu ya mbuzi wachezaji wa berkane wateleze hovyo hovyo!
 
Klabu ya Rs Berkane tayari imeshafanya maandalizi ya sehemu ya kufikia ( Hotel ) huko Zanzibar mapema tu siku chache nyuma ikiwa ni sehemu ya maandalizi kuelekea mchezo wa marudiano fainali kombe la shirikisho dhidi ya Simba, jambo la kushangaza ni kwamba Berkane walishajua ni wapi fainali ya mkondo wa pili itafanyika wakati Simba wao waliamini Benjamin Mkapa Stadium ndipo utakapochezeka mchezo huo.
✍️

Madai ya CAF ni kuwa uwanja bado haujakidhi vigezo kutokana na ukaguzi uliofanywa na CAF mara kwa mara hivyo fainali itachezwa visiwani Zanzibar may 27 licha ya wasimamizi wa uwanja wa Benjamini Mkapa kutoa ripoti kuwa uwanja umeshafanyiwa marekebisho na unafaa kwa matumizi ya mchezo wa fainali Simba atakapokuwa nyumbani Tanzania.
✍️

Nani alaumiwe? CAF au wasimamizi wa uwanja wa Benjamini Mkapa?
Ikumbukwe Simba sehemu pekee anayopata matokeo mazuri zaidi ni Benjamin Mkapa saa itakuwaje???
MGOME KUCHEZAAA...NYOIOO ZAOOOOO

MBONA DERBY MLIANDIKA HAMCHEZI TFF WAKATANGAZA KESHO YAKE MCHEZO UMEHAIRISHWAAA

SINDANO ILIPOINGIA NDIPO ITATOKEAA
 
Mkiambiwa nyie ni mbumbu fc a.k.a wapakwa mafuta muwe mnaelewa!!, Simba walikuwa wanalijua hilo CAF sio wajinga wa Berkane sio wajinga!!. Tff ilishapewa taarifa juu ya uwanja kitokitumiwa tena baada ya ile mechi na Masry ..... Uongo na upiuzi wa viongozi wa simba na Msigwa, mwana FA ndio wakulaumiwa.
Kilichokuwa kinategemewa ni maombi ya simba kutumia uwanja wa mkapa na sio ratiba ya CAF kutumia uwanja huo!. Viongozi wajifunze kuusema ukweli sio kuleta uongo.
 
Watanzania tuna akili mbovu sana. Amani Stadium na Ben Mkapa Stadium vyote viko Tanzania. CAF ndo wenye League yao, wao wana wakaguzi wao wa Stadium za kutumika kwene mechi zao.

Kwann Tanzania tunataka kulazimisha mechi ya Simba na Berkane ichezwe kwa Mkapa??? Hakuna logic hapo! Kudai eti Simba wakicheza kwa Mkapa wanapata matokeo ni utoto, ni kutojua mpira, ni ushabiki wa kijinga. Kama Timu inajua mpira itakuwa tayari kucheza kwene pitch yoyote,popote na saa yoyote. Hivo Serikali, TFF na Mashabiki wa Simba waache visingizio.
Klabu ya Rs Berkane tayari imeshafanya maandalizi ya sehemu ya kufikia ( Hotel ) huko Zanzibar mapema tu siku chache nyuma ikiwa ni sehemu ya maandalizi kuelekea mchezo wa marudiano fainali kombe la shirikisho dhidi ya Simba, jambo la kushangaza ni kwamba Berkane walishajua ni wapi fainali ya mkondo wa pili itafanyika wakati Simba wao waliamini Benjamin Mkapa Stadium ndipo utakapochezeka mchezo huo.
✍️

Madai ya CAF ni kuwa uwanja bado haujakidhi vigezo kutokana na ukaguzi uliofanywa na CAF mara kwa mara hivyo fainali itachezwa visiwani Zanzibar may 27 licha ya wasimamizi wa uwanja wa Benjamini Mkapa kutoa ripoti kuwa uwanja umeshafanyiwa marekebisho na unafaa kwa matumizi ya mchezo wa fainali Simba atakapokuwa nyumbani Tanzania.
✍️

Nani alaumiwe? CAF au wasimamizi wa uwanja wa Benjamini Mkapa? Ikumbukwe Simba sehemu pekee anayopata matokeo mazuri zaidi ni Benjamin Mkapa wa
 
Uongo ndio mtaji wa maccm hawana ukweli zaidi ya kuahidi uongo tu,msigwa,mwanang FA Wajibikeni kwa kusema uongo hadharani na hata ndani ya bungeni
Wapuuzi wakubwa hawa wanatuharibia mpira. Kila kitu n siasa, ni uchawa, ni uhuni. Sijui 30m goli la mama, sijui ndege ya mama, sijui kwa Mkapa hatoki mtu.....nonsense. Hii ni match ya kimataifa, hii ni match ya CAF hivo Simba wafuate masharti ya CAF na si vinginevo!
 
Mkiambiwa nyie ni mbumbu fc a.k.a wapakwa mafuta muwe mnaelewa!!, Simba walikuwa wanalijua hilo CAF sio wajinga wa Berkane sio wajinga!!. Tff ilishapewa taarifa juu ya uwanja kitokitumiwa tena baada ya ile mechi na Masry ..... Uongo na upiuzi wa viongozi wa simba na Msigwa, mwana FA ndio wakulaumiwa.
Kilichokuwa kinategemewa ni maombi ya simba kutumia uwanja wa mkapa na sio ratiba ya CAF kutumia uwanja huo!. Viongozi wajifunze kuusema ukweli sio kuleta uongo.
Hii nchi ina viongozi wapuuzi sana....The Chawa type. Kila kitu ni siasa, ni uongo a.k.a KUUPIGA MWINGI.

Yaani Simba na hao kina Msigwa na Mwanafua walitegemea CAF iwasubiri SERIKALI wapate mkandarasi afanye marekebisho ya kasoro zilizoainishwa kwa Mkspa ndpo waanze kupanga Finali ichezwe uwanja gani???
CAF ilikuwa laxima waendelee na ratiba zao kuona uwanja upi unafaa kulingana na ratiba zao !!
 
Watanzania tuna akili mbovu sana. Amani Stadium na Ben Mkapa Stadium vyote viko Tanzania. CAF ndo wenye League yao, wao wana wakaguzi wao wa Stadium za kutumika kwene mechi zao.

Kwann Tanzania tunataka kulazimisha mechi ya Simba na Berkane ichezwe kwa Mkapa??? Hakuna logic hapo! Kudai eti Simba wakicheza kwa Mkapa wanapata matokeo ni utoto, ni kutojua mpira, ni ushabiki wa kijinga. Kama Timu inajua mpira itakuwa tayari kucheza kwene pitch yoyote,popote na saa yoyote. Hivo Serikali, TFF na Mashabiki wa Simba waache visingizio.
Simba wanataka game ipigwe taifa kwaajili ya maokoto.
 
Kushinda washajua hawawezi
Leo nimemsikia Coach wao anatetea mchezo upigwe Mkapa....nimemmshangaa kwelikweli. Tayari ameshatekwa na akili za kibongobongo za uzandiki, unafiki, uongo na kuupiga mwingi...!!!Hovyo kabisa! Hivi CAF na FIFA wakiruhusu kila Timu duniani iwe inajichagulia Uwanja wa kucheza itakuwa ni mpira au ni uhuni???Shame on you Simba.
 
Imeisha hioooo

Wana haha kukodi boti Toka mchanaaa
Hii waxungu wanaita wanatafuta " SCAPEGOAT" yaani kisingizo cha kipigo Amani Stadia.
Kwamba wakifungwa waje waseme tungecheza Mkapa tungelishinda maana hatoki mtu!!!....propaganda tupu.
Simba chezeni boli acheni longolongo!!
Barkane siyo Yanga mliyoisusia kwa Mkapa mkabebwa kwa mbereko na TFF/Bodi ya League!!!
 
Back
Top Bottom