Heh hivi wanawake wa Kihehe hutahiriwa?

Heh hivi wanawake wa Kihehe hutahiriwa?

Jacobus

JF-Expert Member
Joined
Mar 29, 2011
Posts
4,708
Reaction score
1,733
Nimesikia leo TBC Taifa mama mmoja wa Kihehe akisema kuwa mwanamke wa kabila hilo hutahiriwa, nikashikwa na butwaa maana mie natambua tu shughuri hii hufanywa na Waarabu, Wachaga, Wapare, Wagogo, Wamang'ati, Wamaasai, Wanyiramba, Wataturu, Waarusha na vikabila vdogovidogo katikati ya nchi yetu. Sasa hili la Wahehe limenisitua kidogo.
Nawaomba JF watengeneze FORUM itakayo husu mila na tamaduni.
 
Mambo ya kuondoleana utamu hayana maana yoyote katika jamii ya watu waliostarabika.
Utamu uachwe kabisa kukatwa jameni.
 
Nimesikia leo TBC Taifa mama mmoja wa Kihehe akisema kuwa mwanamke wa kabila hilo hutahiriwa, nikashikwa na butwaa maana mie natambua tu shughuri hii hufanywa na Waarabu, Wachaga, Wapare, Wagogo, Wamang'ati, Wamaasai, Wanyiramba, Wataturu, Waarusha na vikabila vdogovidogo katikati ya nchi yetu. Sasa hili la Wahehe limenisitua kidogo.
Nawaomba JF watengeneze FORUM itakayo husu mila na tamaduni.
Warabu unakusudia wa Islam au? FYI in Islam, circumcision is for men only akitokea mwanamke waki islam anafanya vile ujue anaenda kinyume na mafunzo ya Ki islam :A S shade:
 
Kwani wapare wanakatwa antennae? Mtambuzi, njoo babangu unipe mwongozo nikafyekelee mbali.
Ni uzushi mwanangu, ukidanganywa na kuondoa huo utamu halafu ukaachwa usirudi nyumbani nakwambia........

Hiyo makitu ndio inaimrisha ndoa mwanangu.....
 
Nimesikia leo TBC Taifa mama mmoja wa Kihehe akisema kuwa mwanamke wa kabila hilo hutahiriwa, nikashikwa na butwaa maana mie natambua tu shughuri hii hufanywa na Waarabu, Wachaga, Wapare, Wagogo, Wamang'ati, Wamaasai, Wanyiramba, Wataturu, Waarusha na vikabila vdogovidogo katikati ya nchi yetu. Sasa hili la Wahehe limenisitua kidogo.
Nawaomba JF watengeneze FORUM itakayo husu mila na tamaduni.
wanyiramba hawatahiriwi namaanisha hawakeketwi, demu wangu ni mheheb na ana kinembe cha kutosha mbona wakurya umewaacha
 
Ni uzushi mwanangu, ukidanganywa na kuondoa huo utamu halafu ukaachwa usirudi nyumbani nakwambia........

Hiyo makitu ndio inaimrisha ndoa mwanangu.....

Ha ha ha! Hii ndiyo inaitwa VUNJA UKIMYA ZUNGUMZA NA MWANAO
Mtambuzi unavyomuweka wazi King'asti..da! Napenda sana,,sio mzee ukifika ndani binti anajiona yuko Guantanamo..I LOVE IT
 
Last edited by a moderator:
Sio kweli, hakuna utamaduni wa tohara kwa wanawake na pia kwa wanaume wa kabila la Kihehe!
 
Warabu unakusudia wa Islam au? FYI in Islam, circumcision is for men only akitokea mwanamke waki islam anafanya vile ujue anaenda kinyume na mafunzo ya Ki islam :A S shade:

IGP said mwema ni muislam je ni mwarabu? jamaa kasema waarabu hajasema waislam sasa hujaelewa nini? labda hoja iwe ni kweli ipo mila ya kiarabu inayoruhusu wanawake kutahiriwa? yawezekana ipo ila ni kinyume na uislam! kule misri kuna jamii ya kiarabu ambayo inaruhusu mume kufanya mapenzi na maiti ya mkewe masaa kadhaa baada ya mkewe kufa, licha ya kuwa ni mila ya jamii fulani ya kiarabu si lazima iwe ni desturi ya kiislam!
 
Ha ha ha! Hii ndiyo inaitwa VUNJA UKIMYA ZUNGUMZA NA MWANAO
Mtambuzi unavyomuweka wazi King'asti..da! Napenda sana,,sio mzee ukifika ndani binti anajiona yuko Guantanamo..I LOVE IT

Wee penda tu halafu baadaye tutasoma "binti amtega baba yake" c.f Boflo
 
Last edited by a moderator:
sio kweli be uwudesi uwo lekage udesi ni wanaume tu wanaotahiliwa ye muvanzile udesi
Kweli vadesi ava! Nimezaliwa na kukulia uheheni, sikuwahi kusikia mwanamke anatahiriwa. Zaidi ya yote uheheni hata wanaume sina uhakika kama huwa wanatahiriwa.
 
IGP said mwema ni muislam je ni mwarabu? jamaa kasema waarabu hajasema waislam sasa hujaelewa nini? labda hoja iwe ni kweli ipo mila ya kiarabu inayoruhusu wanawake kutahiriwa? yawezekana ipo ila ni kinyume na uislam! kule misri kuna jamii ya kiarabu ambayo inaruhusu mume kufanya mapenzi na maiti ya mkewe masaa kadhaa baada ya mkewe kufa, licha ya kuwa ni mila ya jamii fulani ya kiarabu si lazima iwe ni desturi ya kiislam!
Kabla ya kujibu umeona nilicho kiandika kasome vizuri nimeuliza unakusudia warabu gani? Mana warabu wako Wa Islam, Wakristo na wayahudi :biggrin:
 
Baadhi hukeketwa, nahisi ni wale wanaopakana na wagogo
 
Wanaume watahiriwe hospitalini kwa usalama na pasipo maumivu makali.
 
Back
Top Bottom