kilimasera
JF-Expert Member
- Dec 2, 2009
- 3,068
- 277
hege ipa uwunya uwoo utegwe kwiyaga??umumaama uyo pa tbc1 mdesi ela
Nimesikia leo TBC Taifa mama mmoja wa Kihehe akisema kuwa mwanamke wa kabila hilo hutahiriwa, nikashikwa na butwaa maana mie natambua tu shughuri hii hufanywa na Waarabu, Wachaga, Wapare, Wagogo, Wamang'ati, Wamaasai, Wanyiramba, Wataturu, Waarusha na vikabila vdogovidogo katikati ya nchi yetu. Sasa hili la Wahehe limenisitua kidogo.
Nawaomba JF watengeneze FORUM itakayo husu mila na tamaduni.