Heeey Handsome

Heeey Handsome

Kwa wapendanao wote kibao kipya cha Passenger(mtunzi na muimbaji wa wimbo- let her go)- sword from the stone .Enjoy
 
Aaahahahahahhahaaa

Let the curiosity hold the moment 😅😅😅

The handsome babe is ......!!!

Hajawahi kuchuja, nasubiria kwa hamu aje kunipitia kwa ajili ya tripu 😜.

Hapa anapita anasoma comments anaondoka, subirini mapichapicha safari hii ntayarisha hapahapa jukwaani.
Wow! You're all the luckiest ones maana hayo mahaba mmh. How i wish 🤷‍♀️ mko vizuri can't wait for the trip pics 😍
 
Yeah long time kitambo nipo Kasie mambo vipi? Kwa kupindi hiki cha valentine tutakukoma kwa jumbe zako za MAHABA nami nasema tukere tu.

Aaahahhaahhaaaa

Nilifichwa, ndo nimeachiliwa saa hii niko joi bin tilalila 🤪.
🍻.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom