Hedhi kutotulia

Aisatu

JF-Expert Member
Dec 27, 2012
778
328
Habarin wanajamvi:

Naombeni kuuliza watalaamu kuhusu mzunguko wa hedhi kutotulia, nini kinasababisha?
Mke wangu cycle yake haijatulia kabisa nikiweza kuattach cycle chart mtaona wenyewe. Kwenye bar hiyo ndefu bado anaendelea hajaona cku zake, leo ni cku ya 35 na haijawahi tokea.

Screenshot_2016-04-06-22-07-25.png
 
Kwa hiyo wewe ulitaka apate tarehe 29 tu kila mwezi? Au kutulia huko unataka kuweje?
 
Hata hujaeleweka, ukisema hazijatuliwa kwa chart hiyo ni vipi? yeye mbona yuko sawa tu, ina maana anamzunguko wa siku 30, ambayo kuanza na siku ya 29 au 30 ni kawaida sana, kuna ambao wanamzunguko wa siku 21, yani janauri akibleed tarehe 30, basi February itakuwa tarehe 23, march itakuwa tarhe 16, hapo yuko sawa kabsaa, na kuhusu kupitisha siku mbona hapo kapitisha siku 6 tu, sio 35 kama unavyodai, kama mwezi ulopita kableed siku ya 30 na leo mpaka siku ya 35 hajapata ni siku 6, subiri baada ya wiki 2 au 3 kampime mimba.
 
Mkuu kma umeangalia hiyo bar chart vizuri utaona alikuwa na 29,30,31 na hiyo ya mwisho ni 36.juzi hapo tareh 10 kaanza mp na leo ni cku ya tano.na alishaenda hospital kupima hakuna mimba alichoambiwa hormone hazija tulia.sasa nikawa najiuliza kwa nini.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom