Salary Slip
JF-Expert Member
- Apr 3, 2012
- 47,027
- 144,381
Hata kashifa ya trilioni 1.5 mliipinga ila leo imezaa trilioni 2.4.Huyu heche kasomea ualimu wa history na Geography haya ya ujenzi anayatoa wapi? kwa akili yake kazi kubwa kama ile itafanya peke yake bila sub contractors? hata Dreamliner mifumo ya computer na tv imefungwa na Toshiba, hata SGR mifumo ya umeme inafungwa na Siemens na TV zitafungwa na Toshiba, umeme wa kuendesha reli utasimamiwa na General Electric. Suala sio kampuni kuwahi jenga ni wataalamu wake wanao weledi na ujuzi wakutekeleza mradi, tunaweza wapa kampuni iliyojenga akasomba dam au mtera dam kumbe wahandisi wote walishastaafu ikawa kazi bure.
Nadhani kinachohitajika ni weledi na ujuzi wa wataalamu wakazi husika, mfano ni kampuni ya konoike iliyojenga Morogoro road ni tofauti kabisa na konoike iliyojenga Bagamoyo road, hii kazi sio lelemama lazima mkandarasi akusanye wenzie duniani wakune vichwa namna gani watatekeleza hii kazi kwa ufanisi.Google ipo hao wabunge siwagoogle tu waone kama kinachosemwa ni sahihi au la. Hydro-power plant tena ya 2000MW sio kitu cha masikhara tena hao wabunge wawe makini wanapojadili suala kama hili. Projects za namna hii zinahitaji sana makampuni yenye uzoefu na kazi husika na kampuni husika iwe na mtaji wa kutosha..
Sasa ndio madhara ya kupinga..hata airport ya terminal 3..sio kampuni moja imejenga..miradi mikubwa lazima ufanye kazi na wengine..inawezekana ni kampuni ndogo ila ina historia ya kutekeleza miradi mikubwa na kwa ufanisi huku ikipata asilimia chache..cha msingi sisi tumeingia mkataba na nani na condition zikoje..hayo mengine ni ya mkandarasi.Nadhani kinachohitajika ni weledi na ujuzi wa wataalamu wakazi husika, mfano ni kampuni ya konoike iliyojenga Morogoro road ni tofauti kabisa na konoike iliyojenga Bagamoyo road, hii kazi sio lelemama lazima mkandarasi akusanye wenzie duniani wakune vichwa namna gani watatekeleza hii kazi kwa ufanisi.
Watathubutu!!Mkataba ukiletwa bungeni nipigwe ban ya mwaka mzima.
Ukiletwa utahamisha hoja..ila hii serikali kiboko aisee..watu walishupalia tir 1.5 wakajua itawapeleka hadi kwenye kampeni 2020..ngoma imedunda..sasa wamehamia kwa mkandarasi wa stieglers gorge..kama wasingeelezwa mkandarasi wa ndege nae aligawa tenda kwa baadhi ya vitu kwa makampuni mengine, basi nayo wangekuja nayo kama hoja kuwa airbus kagawa tenda.Watathubutu!!
Naibu Spika kama vile simwelewi vile.
Mkataba ni confidential sio wa kila mtu kuusoma,kuchambua au kunyofoa/kupiga picha na kusambaza atakavyo.
Mbona mikataba ya majenzi mengine haikupelekwa bungeni?
Jibu LA swali LA Mh.Heche lilikuwa rahisi tu "Ni kweli kuwa Arab Contractors nao wanatafuta Sub- Contractors katika ujenzi huo,hasa ukizingatia kuwa ujenzi ule unahusisha fani/field nyinginezo hadi kukamilika kwake"
"Lakini pia kwa mujibu wa mkataba Main contractor jukumu lake ni kukamilisha ujenzi ule kwa wakati,ubora/viwango na thamani ya fedha iliyotengwa,hivyo suala LA yeye kutafuta washirika/sub contractors liko ndani ya uwezo wake.Cha msingi ni Sisi kama Serikali kuthibitisha weledi wa yeyote atakaye jumuika katika ujenzi huo na KUHAKIKISHA ukamilifu wake unatekelezwa kwa mujibu wa Mkataba".
Ufafanuzi hapo juu usingelimwibua tena Mh.Mbunge kuuliza swali lingine la ziada.
Wewe umesomea nini hadi ujue kuhusu ujenzi huo?Huyu heche kasomea ualimu wa history na Geography haya ya ujenzi anayatoa wapi? kwa akili yake kazi kubwa kama ile itafanya peke yake bila sub contractors? hata Dreamliner mifumo ya computer na tv imefungwa na Toshiba, hata SGR mifumo ya umeme inafungwa na Siemens na TV zitafungwa na Toshiba, umeme wa kuendesha reli utasimamiwa na General Electric. Suala sio kampuni kuwahi jenga ni wataalamu wake wanao weledi na ujuzi wakutekeleza mradi, tunaweza wapa kampuni iliyojenga akasomba dam au mtera dam kumbe wahandisi wote walishastaafu ikawa kazi bure.
Huyu heche kasomea ualimu wa history na Geography haya ya ujenzi anayatoa wapi?
But kuna kiasi cha asilimia ambacho Mkandarasi anaruhusiwa ku-subcontract, mara nyingi inakuwa si zaidi ya 10%. Zaidi ya hapo inakuwa kutoka nje ya mkataba.Naibu Spika kama vile simwelewi vile.
Mkataba ni confidential sio wa kila mtu kuusoma,kuchambua au kunyofoa/kupiga picha na kusambaza atakavyo.
Mbona mikataba ya majenzi mengine haikupelekwa bungeni?
Jibu LA swali LA Mh.Heche lilikuwa rahisi tu "Ni kweli kuwa Arab Contractors nao wanatafuta Sub- Contractors katika ujenzi huo,hasa ukizingatia kuwa ujenzi ule unahusisha fani/field nyinginezo hadi kukamilika kwake"
"Lakini pia kwa mujibu wa mkataba Main contractor jukumu lake ni kukamilisha ujenzi ule kwa wakati,ubora/viwango na thamani ya fedha iliyotengwa,hivyo suala LA yeye kutafuta washirika/sub contractors liko ndani ya uwezo wake.Cha msingi ni Sisi kama Serikali kuthibitisha weledi wa yeyote atakaye jumuika katika ujenzi huo na KUHAKIKISHA ukamilifu wake unatekelezwa kwa mujibu wa Mkataba".
Ufafanuzi hapo juu usingelimwibua tena Mh.Mbunge kuuliza swali lingine la ziada.
Usijifanye mjuaji. Heche ana point. Kama hao Arab wameshinda tenda tunategemea wao ndiyo wafanye sehemu kubwa ya hiyo kazi na siyo wa subcontract 80% ya kazi. Wao siyo kangomba wafanye kazi. Udalali kama huo hata Caspian wangewezaHuyu heche kasomea ualimu wa history na Geography haya ya ujenzi anayatoa wapi? kwa akili yake kazi kubwa kama ile itafanya peke yake bila sub contractors? hata Dreamliner mifumo ya computer na tv imefungwa na Toshiba, hata SGR mifumo ya umeme inafungwa na Siemens na TV zitafungwa na Toshiba, umeme wa kuendesha reli utasimamiwa na General Electric. Suala sio kampuni kuwahi jenga ni wataalamu wake wanao weledi na ujuzi wakutekeleza mradi, tunaweza wapa kampuni iliyojenga akasomba dam au mtera dam kumbe wahandisi wote walishastaafu ikawa kazi bure.