GE2025 Heche: Msiniulize kuhusu Mbowe, mtafuteni mwenyewe

GE2025 Heche: Msiniulize kuhusu Mbowe, mtafuteni mwenyewe

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Elias Msuya

Senior Member
Joined
Dec 23, 2011
Posts
173
Reaction score
673
Makamu Mwenyekiti wa Chadema, John Heche amewataka waandishi wa habari kutoendelea kumuuliza kuhusu aliyekuwa Mwenyekiti wa chama hicho, Freeman Mbowe, akiwataka kumtafuta na kumuuliza maswali mwenyewe.

"Alituaga kwa mazungumzo, anataka apumzike kwa muda kwenye active politics na atarudi. Kwa Katiba yetu, yeye ni Mjumbe wa Kamati Kuu ya kudumu. Sasa, kwanini hazungumzi? Kwanini waandishi wa habari hamfanyi kazi yenu? Muulizeni nyie! Yeye ni mwasisi wa hiki chama — hiki ni mtoto wake, kwanini husemi wakati chama kinashambuliwa? Mtafuteni nyie, si mimi nimsemee."

Ameyasema hayo leo Julai 25 katika mahojiano na Radio Mjini FM:


Soma pia: Heche: Tunaheshimu uamuzi wa mBowe kukaa kimya





 
Inaelekea Mbowe hapokei hata simu zao. Waandishi hawawezi kumuuliza Mbowe maana wanajua atawajibu kihuni.

Amandla...
 
Back
Top Bottom