Heche leo Meatu - Simiyu

ajabu wanawaweka sehemu zilizobana...lakini wanafurika kupita kuwa uwanjani
 
Ila Chadema...????

Kimepitia magumu ya Kila namna, na kadiri kinavyozidi kukandamizwa, ndivyo kinavyozidi kupendwa na Malika yote Tanzania

Hiki chama hakiwezi kufa kwa figisu figisu za kijinga kijinga ambazo CCM wanafanya
 
Peleka moto Heche, mbinu outdated za ccm kuua vyama vya upinzani kwa cdm zimegongwa maana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…