Wont be the same
JF-Expert Member
- Aug 15, 2024
- 1,564
- 2,483
Kupitia ukurasa wake wa X, Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, John Heche amehoji na kuendelea kuonesba masikitiko yake juu ya vitendo vya utekaje. Heche anaandika;
"Vyombo vyetu vya dola, polisi wetu hawapaswi kuwa chanzo cha hofu kwa watu.
Mwl Nyerere hakuunda Nchi na vyombo vya kujaza watu hofu.
Hivi vilipaswa kuwa vyombo vya kulinda raia, sasa vimegeuka kujaza watu hofu na kuwatisha.
Kwanini watu wanatekwa na kupotea, hawa wanaojiita viongozi kazi yao ni nini?
Mnafikiri mtateka watu wote?
Mnafikiri Watanzania watakaa kimya kwasababu ya ushenzi huu.
Mnazima moto kwa petrol, mnachochea hasira ambayo ikiwaka mtajuta sana"