DuaZaMama
JF-Expert Member
- Jun 2, 2025
- 1,882
- 4,129
Makamu mwenyekiti wa CHADEMA John Heche amesema kuwa Kenya ni miongoni mwa mataifa yenye demokrasia nzuri na mahakama huru akieleza kuwa nchi hiyo haipo tena kwenye vita ya kuteka na kuua raia bali wapo kwenye vita ya kiuchumi.
Ameyasema hayo leo Septemba 19,2025 wakati akizungumza kwa njia ya mtandao na Chama cha Safina nchini Kenya kuhusu mambo mbalimbali yanayoendelea nchini na huku chama hicho kikiadhimisha na kusherehekea miaka 30 yakuanzishwa kwake.