MAKAMU MWENYEKITI BARA JOHN MNYIKA HAHAHAAA JAMAA ULIKUWA NA HARAKA YA KUPOST UZI KUMBE UMECHEMSHAJOHN HECHE AGEUKA MBOGO MAHAKAMANI KESI YAO KUHAIRISHWA, ATAKA JAJI AJIONDOE,
"MSIOGOPE"
Makamu Mwenyekiti wa CHADEMBA Bara, John Mnyika hii leo afika Mahakamani kwenye kesi iliyofunguliwa na aliyekuwa Makamu Mwenyekiti Zanzibar kwa miaka zaidi ya kumi, Said Issa Mohamed na wenzake wawili (2) dhidi ya Bodi ya wadhamini wa CHADEMA na Katibu Mkuu wa CHADEMA
Heche asisitiza kuwa hawana imani na Jaji anayeendesha kesi hiyo na kumtaka ajiondoe, awataka Wanachadema kuendelea na shughuli za kisiasa pasipo kuhusisha mali za chama.
KUNA UMUHIMU GAN WA HIYO KESI ? ALIKUWA NA MAJUKUMU MENGINE MUHIMU YA KITAIFA HIZO KESI ZENU ZA KITOTO HAZINA UMUHIMU KAMA ALIYOENDA KUIFANYA LEONi ukweli ulio wazi bila kificho Jaji anafanya mambo ya kijinga sn, ana najisi mahakama kuigeuza kuwa tawi la UVCCM
Ingekuwa kesi inamhusu mumeo ungesema hivyo? stupidKUNA UMUHIMU GAN WA HIYO KESI ? ALIKUWA NA MAJUKUMU MENGINE MUHIMU YA KITAIFA HIZO KESI ZENU ZA KITOTO HAZINA UMUHIMU KAMA ALIYOENDA KUIFANYA LEO
Hadi aibu, duh. Baadaye tunaambiwa Mahakama ni Mhimili huru unaojitegemea, ahahaaaa. Za kuambiwa.............., alichopata kusema Rostam Aziz nakiona kwa machoNi ukweli ulio wazi bila kificho Jaji anafanya mambo ya kijinga sn, ana najisi mahakama kuigeuza kuwa tawi la UVCCM
Ni hovyo kabisaHadi aibu, duh. Baadaye tunaambiwa Mahakama ni Mhimili huru unaojitegemea, ahahaaaa. Za kuambiwa.............., alichopata kusema Rostam Aziz nakiona kwa macho
Kiujumla ccm imezidiwa mbinu za kisiasa na chadema..Makamu Mwenyekiti wa CHADEMBA Bara, John Heche hii leo afika Mahakamani kwenye kesi iliyofunguliwa na aliyekuwa Makamu Mwenyekiti Zanzibar kwa miaka zaidi ya kumi, Said Issa Mohamed na wenzake wawili (2) dhidi ya Bodi ya wadhamini wa CHADEMA na Katibu Mkuu wa CHADEMA
"Ni wazi kwamba CCM hawawezi kushindana na sisi tena, walimkatama Mwenyekiti wetu(Tundu Lissu), wameunda vyama vibaraka vya kutumia, walitumia baadhi ya watu tuliokuwa nao kujaribu kupasua uongozi wetu, lakini bado wanataka watumie Mahakama kuzuia shughuli halali za kwetu za kisiasa, sasa hii ni hatua ya mwisho kabisa ya watu walioshindwa kufanya siasa. Ukweli ni kwamba tunaungwa mkono sana kuliko kipindi chochote na nyie mnajua”
Heche asisitiza kuwa hawana imani na Jaji anayeendesha kesi hiyo na kumtaka ajiondoe, awataka Wanachadema kuendelea na shughuli za kisiasa pasipo kuhusisha mali za chama.
HUU NDIYO MWISHO WA CHADEMA VIONGOZI WANAIUA WENYEWE
Chadema haiwezi kuwa na mwisho mpaka siku Tanganyika itakapo rejeshewa uhuru wake kamili kutoka kwa wahuni.HUU NDIYO MWISHO WA CHADEMA VIONGOZI WANAIUA WENYEWE
Acha ife ili ccm ifurahiHUU NDIYO MWISHO WA CHADEMA VIONGOZI WANAIUA WENYEWE
Dah! Sema Jamaa anajua kuongea na kuwasilisha hoja! Safi sana! Huyu ndio kiongozi tutunayemtaka!Makamu Mwenyekiti wa CHADEMBA Bara, John Heche hii leo afika Mahakamani kwenye kesi iliyofunguliwa na aliyekuwa Makamu Mwenyekiti Zanzibar kwa miaka zaidi ya kumi, Said Issa Mohamed na wenzake wawili (2) dhidi ya Bodi ya wadhamini wa CHADEMA na Katibu Mkuu wa CHADEMA
"Ni wazi kwamba CCM hawawezi kushindana na sisi tena, walimkatama Mwenyekiti wetu(Tundu Lissu), wameunda vyama vibaraka vya kutumia, walitumia baadhi ya watu tuliokuwa nao kujaribu kupasua uongozi wetu, lakini bado wanataka watumie Mahakama kuzuia shughuli halali za kwetu za kisiasa, sasa hii ni hatua ya mwisho kabisa ya watu walioshindwa kufanya siasa. Ukweli ni kwamba tunaungwa mkono sana kuliko kipindi chochote na nyie mnajua”
Heche asisitiza kuwa hawana imani na Jaji anayeendesha kesi hiyo na kumtaka ajiondoe, awataka Wanachadema kuendelea na shughuli za kisiasa pasipo kuhusisha mali za chama.
Na yule Mtungi, na yeye anafanya ya kwake!.Chadema inawindwa na Dola Ili iuliwe, wamembambika mwenyekiti wao lissu kesi ya mchongo
Hawa ni nyumbu kweri kweri, na bangi ndio huongea.Makamu Mwenyekiti wa CHADEMBA Bara, John Heche hii leo afika Mahakamani kwenye kesi iliyofunguliwa na aliyekuwa Makamu Mwenyekiti Zanzibar kwa miaka zaidi ya kumi, Said Issa Mohamed na wenzake wawili (2) dhidi ya Bodi ya wadhamini wa CHADEMA na Katibu Mkuu wa CHADEMA
"Ni wazi kwamba CCM hawawezi kushindana na sisi tena, walimkatama Mwenyekiti wetu(Tundu Lissu), wameunda vyama vibaraka vya kutumia, walitumia baadhi ya watu tuliokuwa nao kujaribu kupasua uongozi wetu, lakini bado wanataka watumie Mahakama kuzuia shughuli halali za kwetu za kisiasa, sasa hii ni hatua ya mwisho kabisa ya watu walioshindwa kufanya siasa. Ukweli ni kwamba tunaungwa mkono sana kuliko kipindi chochote na nyie mnajua”
Heche asisitiza kuwa hawana imani na Jaji anayeendesha kesi hiyo na kumtaka ajiondoe, awataka Wanachadema kuendelea na shughuli za kisiasa pasipo kuhusisha mali za chama.
We kibwengo una haraka unajua uamuzi wa jaji, nyie ni mazombie kweli mnataka mlazimishe kila kitu, shenzyIngekuwa kesi inamhusu mumeo ungesema hivyo? stupid