Hebu unawaza nini kuhusu hizi picha

Boke da silver

New Member
Apr 14, 2014
3
0
71e0ae9402a37e1fa63f8ccb90b918cf.jpg
 
Mabosi wa Afrika maudhi sana. Utakuta boss anashuka kwenye gari na kuacha pochi ya kike au ndogo tu ya kiume mpaka aletewe na dereva ofisini. Yaani boss anaenda tu utafikiri alipewa mikono kwa ajili ya ku.c.ha.mbia tu. Inaudhi.

Naombea Pombe afute wakuu/ maboss kutumia magari ya serikali labda kwa wale maboss kabisa kuanzia naibu katibu mkuu, sio hivi vikurugenzi. Nina hasira na hii tabia na nawaonea huruma sana madereva. Utakuta dereva mtu mzima halafu kaboss kadogo kiumri pengine hata michirizi ya nepi au pampers hazijaisha
 
Viongozi wa bara afrika kwa ubwanyenye wa kizuzu ni balaa.,wanapenda
stock-photo-dictatorship-56459398.jpg
 
Back
Top Bottom