Hebu tuzungumzie scientific research

Hapa kwetu TZ siku hizi kuna watu wengi wanaitwa Dr. somebody au Prof. somebody. Lakini ukienda kwenye strong journals duniani huwakuti kabisa majina yao katika articles. Hivi huwa wanapata hizo PhDs na uProf. vipi? Yani mtu anajiita Prof halafu anakaa miaka hajafanya publication? hata wanafunzi wa masters tu amewakosa ili waweze kuproduce papers! Inabidi tuchunguze au nako huko vyuoni kuna ufisadi wa kuinuana tu na kupeana u prof kwa reports za hapa na pale na vijiconference vya morogoro, arusha na dar?

Kijana ebu jitahidi kusoma journals nyingi, yawezekana umepitia chache then uka-conclude. tuambie umepitia journals za miaka mingapi na ukawakosa. Mimi baadhi nimewaona
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom