Hebu tuwatambue hawa wana CC

kabanga

Platinum Member
Joined
Dec 12, 2011
Posts
37,649
Reaction score
19,042
Nilikutana nao Club, hebu watambueani...

























 
Bishanga huyo kwenye picha ya kwanza mwenye kilemba
 
Last edited by a moderator:
Mmmmm,ningetaja ila naogopa!
 


Huyu ni mwana JF mmoja nimekutana nae juzi anawasabahi.Amenituma nimfikishie salamu mzabzab..........................
 
Last edited by a moderator:
Mmmmm,ningetaja ila naogopa!

ngoja nami nigune... mh mh mh... yaani wewe hadi leo unaogopa! vingapi ulishaogopa leo unavipenda ukimiss....!!!??
 
Aaah
Kuna watu wengine sio watu bhana coz wanajibadilisha sana hadi wanaboa.
Sijawaogopa ila nimeogopa dunia inakoenda kabanga

kaka hali ni ngumu sana kwa sasa, muda mwingine unafikiria unakosa jibu...
 
Akha! naogopa ban mie
Kwaherini!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…