Katika mapamabano hatutakiwi kuwa na nyoyo laini, for sure tunasikitika ila tunatakiwa kuongeza wigo wetu wa kupambana na udhalimu, hii haina tofauti na ilivyokuwa Msumbiji, Afrika Kusini, Sahara Magharibi kitu muhimu ni kuzidi kuwaelimisha Watanganyika jinsi tunavyodhulumiwa na CCM badala ya kulia, at last tutashinda na kukombo anchi yetu tuliyopata uhuru toka kwa mkoloni kisha kutawaliwa na "mkoloni mpya" CCM. Mapambano yetu ni katiba, maendeleo, utawala wa sheria, uwajibikaji, haki za binadamu na uhuru wa kujieleza. Tusikitike ila tuzidishe harakati!