Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ukiisoma sana na kuisikiliza, inaliza hii msg.
Ni kweli swali hili ni zito! Raia tunaambiwa kazi kubwa ya polisi ni ulinzi wa raia kwahiyo inapotokea polisi hao kufanya mambo ya kihuni na kuangamiza raia kwa silaha za kivita hapo kuna tatizo kubwa. Kwa sasa raia hawana imani tena na polisi. . . Siku mbili zilizopita nilikwenda mlimani city muda wa asubuhi kwenye ATM ya bank moja pale. Nilipomaliza kupata huduma nikaelekea kwenye gari na nilipofunga mlango WA gari akaja askari mmoja akiwa na silaha begani. . Akaniambia kaka samahani naomba unisaidie japo hela kidogo nipate chai. Nikamuangalia Yule askari alafu nikakumbuka jinsi walivyfanya mambo ya kihuni kuld Arusha then jibu lililonitoka ni kumwambia Sina hela! Naye akaondoka kwa unyonge.
Message, Messenger and Mode of Message
bado kujibiwa