cement JF-Expert Member May 5, 2012 581 218 Dec 7, 2012 #1 Jana katika pita pita yangu nikajikuta nimeingia facebook moja kati ya vitu vilivyonishanga ni hiki nilikuta kuna link hii TANZANIA LOANS SOCIETY: MIKOPO YA FEDHA KWA KILA MTANZANIA ambayo kabla ya kuifanyia kazi ni bora nikashare na nyie maana sijaelewa hayo maelezo yako ya utaratibu wa huo mkopo ulivyo Nawasilisha
Jana katika pita pita yangu nikajikuta nimeingia facebook moja kati ya vitu vilivyonishanga ni hiki nilikuta kuna link hii TANZANIA LOANS SOCIETY: MIKOPO YA FEDHA KWA KILA MTANZANIA ambayo kabla ya kuifanyia kazi ni bora nikashare na nyie maana sijaelewa hayo maelezo yako ya utaratibu wa huo mkopo ulivyo Nawasilisha
N Nguto JF-Expert Member Apr 11, 2011 3,669 1,791 Dec 7, 2012 #4 Mtu katunga mpango wa kutuibia watanzania. Haingii akilini rahisi wetu afanye mambo kienyeji hivi hata kama kweli kapewa fedha na Obama. Hii ni daylight robbery.
Mtu katunga mpango wa kutuibia watanzania. Haingii akilini rahisi wetu afanye mambo kienyeji hivi hata kama kweli kapewa fedha na Obama. Hii ni daylight robbery.
cement JF-Expert Member May 5, 2012 581 218 Dec 7, 2012 Thread starter #6 Yaani mambo siku hizi kila nayeamka na lake kimpango wake huu ni wizi mkubwa sanaaaaaa maana wataibiwa sana watu kwa hiki kitu
Yaani mambo siku hizi kila nayeamka na lake kimpango wake huu ni wizi mkubwa sanaaaaaa maana wataibiwa sana watu kwa hiki kitu
M mbufi Senior Member Dec 4, 2012 100 12 Dec 7, 2012 #7 vibaka wasikuhizi wameingia mpaka kwa mitandao