HEBU TUSHARE HII KITU WAKUU Inahusu Mkopo wa fasta

Status
Not open for further replies.
Mtu katunga mpango wa kutuibia watanzania. Haingii akilini rahisi wetu afanye mambo kienyeji hivi hata kama kweli kapewa fedha na Obama. Hii ni daylight robbery.
 
Yaani mambo siku hizi kila nayeamka na lake kimpango wake huu ni wizi mkubwa sanaaaaaa maana wataibiwa sana watu kwa hiki kitu
 
Status
Not open for further replies.
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom