Hebu tusaidiane hapa

Preta

JF-Expert Member
Nov 28, 2009
24,323
18,793
Mwenye kuweza kunisaidia kuweka job descriptions za hawa wafuatao itakuwa furaha kwangu

1. Waziri
2. Mbunge
3. Diwani
4. Meya
5. Katibu kata
6. Mtendaji
7. Balozi wa nyumba kumi kumi

Rais nitajitahidi kutafuta mwenyewe baada ya kujua za hao hapo juu.

M'barikiwe sana
 
jamani hatujui majukumu ya viongozi wetu?
 
Mbunge, kuwakilisha mawazo ya wapiga kura wake bungeni na kurejesha majibu, kushirikiana na wabunge wengine kutunga sheria,
kubadilisha au kuifuta, Kuchallenge utendaji kazi wa Serikari (Mawaziri) jingine baadae
 
asante mkuu kwa ufafanuzi huu
 
Niliwai kuta hoja/swali hii hasa kazi za mbunge na diwani kwa kweli nilikuwa nasubiri kwa hamu nipate elimu zaidi. My self I feel kuna muingiliona na wa majukumu na wengine hawajui kazi zao hasa. Great thinkers wengi mawazo yetu yako kwenye siasa hatujiuliza maswali kama haya.

Nimejaribu ku google na kwa kuwa mfumo wetu wa utawala na sheria unafuata wakoloni wetu Waingereza nadhani resposibility haziko mbali na hizi

Nwasilisha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…