Lengo lake anatamani kupitia A level maana ndipo atapata nafasi ya kusomea vitu vingi kwa urahisi
Kwa uelewa wangu ukipitia advansi kila utakachokua unataka kusomea ni unaanza na digrii moja kwa moja.Kupita advance sio kigezo cha kupata nafasi ya kusoma vitu vingi...kama lengo ni kusoma masomo ya finance, nashauri aanze kusoma cheti cha accounting then diploma ya accounting; kwa Bachelor atakuwa na wigo mpana wa kusoma masomo ya biashara
Aachane na A-Level ni mfumo usiokuwa na tija.Lengo lake anatamani kupitia A level maana ndipo atapata nafasi ya kusomea vitu vingi kwa urahisi
Namshauri akasomee masomo ya afya. Akimaliza anapata kazi. Aachane kabisa na mawazo ya kusoma account atopata kazi. Mimi nilisoma masomo ya biashara sasa ivi ayana dili sasa ivi masomo aya ya biashara. Labda kama anataka kuwa Dalali. Kazi ambayo inaitaji kuwa mtu wa kuongea sana na kama uwezo kuongea inakuwaje shida sanaLengo lake asomee Finance and accountancy mkuu.
Karai=ufaulu wa daraja CUnamaanisha nini mkuu? Karai?