Hebu tujikumbushe kidogo

IKUNGURU IJIRU CHUKU

JF-Expert Member
Feb 27, 2021
484
541
Hapo zamani za kale katika nchi ya Uyahud alitokea Jamaa aliyekemea maovu na ushenzi bila kujali nani kaufanya! Alihubiri kwa ukali bila kubembeleza. Namzungumzia Yohana Mbatizaji a.k.a Sauti ya Nyikani, Muandaa Mapito ya Bwana.

Yohana aliposikia Mfalme Herode anachepuka na mke wa mtu alimchana hadharani aache mambo ya hovyo. Halafu mchepuko wenyewe ni mke wa kaka yake Filipo! Loh! Shemeji mtu kitandani! Kweli Hainaga Ushemeji Wanakulaga aliimba Man Fongo Muuza Mitumba!

Wakenya wanakwaambia ama kweli fisi iko all over!
 
1f44a.png
 
Amin, nawaambieni, Hajaondokea mtu katika wazao wa wanawake aliye mkuu kuliko Yohana Mbatizaji; walakini aliye mdogo katika ufalme wa mbinguni ni mkuu kuliko yeye..
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom