hivi mtaacha lini kudanganyana nyie??? mnanikeraaaaa!!mwanamke ili akuheshimu lazima umtongoze, then kama humtaki akikukubalia unamzingua, ila ukiwa rafiki tu, lazima atakuzingua one day!
!
Hebu huyo mke wa mkubwa muelekeze aje kwangu mkubwa mwenzie...
hivi mtaacha lini kudanganyana nyie??? mnanikeraaaaa!!
kwahiyo kwasababu ni mke wa mkubwa basi amfanyie research kwakumuogopa mumewe.siampe mume wake afanyie.sasa yeye alienda shule kufanya nini pumbafu sana..na yeye/mwalimu aache kujilegeza afanye kilichompeleka kazini.aache kujipotosha eti awatongoze wadada/wamama..chuon watoto wa mama salma wengi atapotea...
Hebu huyo mke wa mkubwa muelekeze aje kwangu mkubwa mwenzie...
mmh ngoja waje......
Suala hapa ni kuwa! kunaweza kuwapo na urafiki wa jinsia mbili na wakudumu wa hivihivi tu! nini kitajenga heshima ktk urafiki wenu! manake mtakaa mtapiga stori halafu zikiisha inakuwaje??
So wanasema ili kuweka boundary nzuri lazima umtongoze, note sio kila unayemtongoza unamtaka ni kumwambia tu kuwa asijiachie saaana, manake ww ni mwanaume na unamatamanio!
mm nataka nijue hii ni sahihi, nianze kuziba mahusiano yaliyolegea legea!
Kuna jamaa yangu kaniomba ushauri nikasema ni vzr nilifikishe hapa mezani wanaJF walichambue!
Kali kuliko yote jana kapigiwa simu na mke wa kiongozi mkubwa pale OUT (ofcourse wanajuana before) anataka amsaidie reserch yake! akamwambia atampa ushauri tu wa jinsi ya kufanya na nn kinahitajika lakini hawezi kumfanyia manake yy mwnyw amebanwa sana! mama wa watu kapanic kaanza kumwambia maneno makali na mwisho anamwambia asimpigie tena simu na yeye (huyo mama) atafuta contacts zake zote so asimtafute!
Jamaa ss anasema, asije akauziwa kesi! manake mama ni mke wa mkubwa serikalini na yy ni bwana mdogo tu!
Kijiweni hapa, watu wanamwambia shida yake ni mpole sana na huwa haombi mechi (za mchangana kwa wamama) wala malipo yoyote! wanamwambia mwanamke ili akuheshimu lazima umtongoze, then kama humtaki akikukubalia unamzingua, ila ukiwa rafiki tu, lazima atakuzingua one day!
hebu nipeni ukweli, manake kama ni hivo nina kazi kubwa ya kufanya!
hivi mtaacha lini kudanganyana nyie??? mnanikeraaaaa!!
Suala hapa ni kuwa! kunaweza kuwapo na urafiki wa jinsia mbili na wakudumu wa hivihivi tu! nini kitajenga heshima ktk urafiki wenu! manake mtakaa mtapiga stori halafu zikiisha inakuwaje??
So wanasema ili kuweka boundary nzuri lazima umtongoze, note sio kila unayemtongoza unamtaka ni kumwambia tu kuwa asijiachie saaana, manake ww ni mwanaume na unamatamanio!
mm nataka nijue hii ni sahihi, nianze kuziba mahusiano yaliyolegea legea!
We unadhani waliokuwepo jela wote wana hatia??

mmmmmmmmmh!!
'